Pre GE2025 Ni wakati muafaka na sahihi kwa David Kafulila kurejea Bungeni mwaka 2025

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimebubujikwa na machozi
 
Unajifanya hujui eeeh!
Chawa endeleeni hivyo hivyo kumuharibia nafasi ndegere, siku akikatwa mkia wake msije tena hapa hapa JF kulia lia.
Kama Kuna maandiko mengi ameyaandika huyu bwana basi ni maandiko ya kumpigia debe mama 2025 unataka kusema ndio chama kitamkata mama jina hiyo 2025? 😂😂
 
Kafulila ni hoja Kwa hoja tangu enzi na enzi 2025 ni Bunge la Upinzani mwingi so lazima CCM pia itume vifaa vyenye hoja bungeni
Wewe bora ukaage kimya tu,nimekuuliza ni kwa jinsi gani Kafulila atawadhibiti wapinzani,au huelewi maana ya kudhibiti? Kumbe hii ndiyo ID yako mpya ndiyo maana naona aina yako ni ile ile unaulizwa maji unajibu pombe.
 
ID ya nani?
 
Kafulila ni hoja Kwa hoja tangu enzi na enzi 2025 ni Bunge la Upinzani mwingi so lazima CCM pia itume vifaa vyenye hoja bungeni
Mheshimiwa Kafulila Ni chuma kwelikweli kwa upande wa Hoja.
 
Tukiacha uongo na tukamwogopa Mimi Kijana toka CCM ninayemwamini 100% anaweza akaiteketeza rushwa Tanzania basi ni Huyu Kafulila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…