William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!
- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.
- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,
- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.
Le Mutuz on my way to Lushoto.