Madela Wa- Madilu
JF-Expert Member
- Mar 24, 2007
- 3,063
- 735
Kumbe ndugu yangu Bill ni mvuvi?
Hilo joho lisikutishe kabisa hata watoto wa Nursery schools hayo wanayavaa, si kila umuonaye na koti jeupe ukadhani ni daktari labda hujawahi kufika buchani.
Huyo ni muhitimu wa chuo cha wavuvi ndiko alikopata Diploma, enzi zetu ilikuwa ukikosa credit za kuendelea high school chuo cha wavuvi ndio ilikuwa option ili ufike Ulaya kiurahisi.