W. J. Malecela unasema tume ya katiba inalazimisha mawazo yeke ndo yawe ya wananchi, vipi kuhusu chama chako CCM ambacho nacho kinafanya juu chini kuhahakisha mawazo yeke ndo yanakuwa ya wananchi? Unadhani kwamba nacho kinatakiwa kitupishe? Naona unamwambia Huey freeman hapo juu kwamba nchi haiwezi kushindwa kutawalika kwa sababu ya wabunge 46 wa Chadema lakini mimi nikwambie kwamba hatuhitaji pia nchi hii iingie kwenye ghasia na misukosuko kwa sababu ya wabunge hao 280 wa CCM kwani hata wao pia si zaidi ya watanzania milioni 44!
Last edited by a moderator: