Ni Wakati Muafaka Now kwa Tume ya Katiba Kuondoka!!;- They Should Go Now!!

Kusema kweli kuna watu wenye mawazo ambayo ni janga kwa taifa letu. Huyu le mtuz una kasoro ktk kufikiri, hakuna mtanzania asiyejua muungano wa tanganyika na zanzibar una maswali? Wengi wamesema utazamwe upya viongozi wako wanapitapita ukiwemo wewe ukishawishi ubakie ulivyo na maswali. Kinyume na uliowatuma wakukusanyie maoni una akili za kichwa kipi wanaume tuna vichwa viwili ukiacha kutumia kichwa cha kawaida ukaanza kufikiri kwa kichwa cha chini ndy hayo. CCM isifikirie kuwepo ktk utawala milele kesho tu utakuwa mpinzani na wewe. Kuna mambo mengi ktk Katiba waachiwe wananchi siyo kushinikiza kwa vyeo vyenu. Muungano lazima ubadilike kwa matakwa ya watu, siyo wewe na wazee wako kulinda mambo yenu. Kuna vyeo vingi tu vinatakiwa viondolewe Waziri Mkuu asiye na madaraka, makamu wa rais na waziri mkuu kuna shida hapa. vyeo vya mikoani na wilayani makatibu tawala wakuu wa mikoa wakurugenzi wewe unafikiri lwa kutumia nini makalio au kichwa cha wapi, Hapa acha mambo ya vyama zungumza kama mtanganyika siyo kama baradhuri lenye kichwa kilicho jaa hewa ya kupuliziwa uccm acha bana unatuudhi kubwa zima
 
- Nchi inatawalika na Rais JK anakaribia kumaliza kipindi chake, nchi haiwezi kukosa kutawalika kwa sababu ya Wabunge 46 tu katika Taifa la wananchi Millioni 44 ni maneno hewa tu ya kujipa moyo nchi inatawalika na ilani ya CCM inaendelea kufanyiwa kazi, nipo Korogwe jana nilikuwa Mombo lami tupu ndio amtunda ya CCM hayo!!

Le Mutuz

Kwa akili yako nchi inatawaliwa na wabunge? Hivi mzee wetu malecela alizaa nini hii?
 
Message sent & delivered.Kama kweli akili yako imekomaa na una busara ya kutosha basi utaufanyia kazi ushauri wangu.Asante

Ushauri wako kautolee huko kwa walevi wenzio sio hapa kwa great thinkers.
ImageUploadedByJamiiForums1380259705.069691.jpg
 
- Niufanyie kazi ushauri wa kuandika maoni yangu kwa kutumia jina la bandia? are you serious mkuu? ha! ha!

Le Mutuz

SAMAHANI WAKUU! AISHAKUMU SI MATUSI.

Waswahili wa Tanga tunasema, "MAVI YENYEWE NI UHARO, KISHA WAUTIA MAJI"?
 
Utumbo!! Ulitaka tume ifuate matakwa ya magamba? If you suggest that they have to go what about your boss who appointed them? Would you advice him to go too?
anasema watanzania tuijadili halafu anasema ccm ndio upper hand.kumbe anaipigania chama ya masogange shame kwa muuza sura.
 
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!

- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.

- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,

- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.

Le Mutuz on my way to Lushoto.

sababu ya wewe kutokwa na mapovu inajulikana, kwanza cc wananchi hatutaki ule utawala wa kifalme ambao nyie watoto wa vigogo ndo mnawekwa mjini nao, pili hatutaki raisi awe na power iliyopitiliza kiasi kwamba baba yako akienda kumlilia basi anakuchagua kiholela tu na kukupa madaraka flani, tunataka katiba yenye usawa na haki. sio sasa hv mnakamata vidagaa vya madawa ya kulevya kwa sababu big fish ni watoto wa vigogo, tunataka katiba ambayo hata raisi akizingua tunamshitaki na kumfunga hamna kitu inaitwa "kinga ya raisi" sasa kwa mantiki hyo mm sishangai kitendo cha wewe kutokwa na mapovu. Hizo barabara unazojisifia nazo hazijajengwa na hela za ccm zimejengwa na hela za walipa kodi wa tanzania ikiwemo mimi. so JIPANGE!!! Sio blah blah blah :welcome::welcome:
 
- Chama cha Mapinduzi kinayo haki kikatiba kuwapa elimu ya namna ya kuchangia katiba mpya so is Chadema in the end ni wengi ndio wanaotakiwa kushinda ndio maana ya Demokrasia, eti wewe ni nani mnaoshangaa kuona mimi Le Mutuz:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA. 2. MJUMBE WA WAZAZI/CCM TAIFA. 3. MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA UV-CCM.

- Unasema wewe na wenzako mnashangaa kwamba kwa nini ninatembelea Taifa kuhamasisha CCM are serious au unatania mkuu? Kwani wewe una cheo gani huko Chadema?

Le Mutuz

Willy hiki kiburi chenu ndiyo kinachowafanya watu wawachukie, ona majibu yenu kwa watu wanaouliza maswali mazito? Kwa nini usiwe kama mbunge wenu wa kigamboni?

Upinzani bungeni sio chadema tu, na wala sio wabunge46 tu ni zaidi ya mia na kitu, hao pia wanawawakilisha wananchi wengi zaidi u should respect them too:

Unaposema ccm ndiyo wengi una maana gani?
Kuwa katiba ya nchi itokane na ccm kwa vile wako wengi?

Bado nina imani na ww kwa vile nimeanza kukufatilia mda mrefu sana since uko marekani ila umekuja bongo bs kila kitu kimechange, mapungufu ya ccn hayasemi tena now ni kuponda cdm tu mwanzo mwisho, I blv trip hizo za ccm wazazi utajufunza mengi al the best man
 
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!

- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.

- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,

- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.

Le Mutuz on my way to Lushoto.
Uhuru wa maoni unashida! Hatuna la kufanya ndiyo maana CCM sikuhizi inapukutika umaarufu maana aina ya watu wanaoishauri vichwani mwao ni sawa na ticketi maji
 
Sio kila mtu aliyepo duniani ana akili timamu, na ningeshangaa sana kama duniani tusingekuwa na watu kama huyu Malechela.

Kwanza, tume ya katiba ipo kisheria.

pili, ulitaka wakishasikiliza maoni ya wananchi "wafanyeje"? wakuletee wewe?

Tatu, Hapa hatuna ubishi na wingi wa CCM wala CCM kuongoza dola!!!

Nne, Tunataka katiba ya "Wananchi wote" nadhani hapa ndo tatizo lilipo kwa wanaccm, Neno " Wananchi wote" lina maana ya "Wananchi wote wa Tanzania" na wananchi wote wa Tanzania ina maana ya Wakulima, wafanyakazi, watoto, walemavu, wanafunzi, vijana, wazee, "vyama vyote" nk. sasa ccm wanataka "katiba yao wenyewe" hii haikubaliki.
 
- Chama cha Mapinduzi kinayo haki kikatiba kuwapa elimu ya namna ya kuchangia katiba mpya so is Chadema in the end ni wengi ndio wanaotakiwa kushinda ndio maana ya Demokrasia, eti wewe ni nani mnaoshangaa kuona mimi Le Mutuz:-

1. MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA. 2. MJUMBE WA WAZAZI/CCM TAIFA. 3. MJUMBE WA BARAZA KUU LA TAIFA UV-CCM.

- Unasema wewe na wenzako mnashangaa kwamba kwa nini ninatembelea Taifa kuhamasisha CCM are serious au unatania mkuu? Kwani wewe una cheo gani huko Chadema?

Le Mutuz

Kwa umri wa miaka 55 unakuwaje mjumbe wa baraza kuu la UVCCM??

Kwa mtu uliyefeli shule, ukafeli maisha na unashindwa hata kuhudumia familia kila siku uko safarini kufukuzia posho za shs 80,000 kwa siku za CCM,,, utatufundisha nini watanzania?? Only cowards will learn from you...
 
Sijui unatoa wapi ujasiri wa kuandika mambo haya katikati ya kundi la watu walioichoka ccm? hivi hata kama hujaambiwa na Nape/Lukuvi useme unayosema hauoni kuwa yanachefua sana? Hauoni kuwa ccm inataka kupitisha katiba yake kwa maslahi yake ili kulinda viongozi wabadhirifu wazidi kuwa wabadhirifu? Sikutegemea kwa kukaa kwako nje miaka yote hiyo bado ungesimama hapa na kutetea utumbo unaofanywa na ma-ccm kwa faida zao na wala si kwa faida ya nchi yetu. Lakini ngoma ikivuma sana, ujue imekaribia kupasuka....mwisho waja, jiandaeni tu kung'oka muwapishe wenye uchungu na nchi yetu
 
chama ni kama duka, nchi kama nyumba. huwezi kuweka rehani nyumba kwa kilo ya mchele.

leo unanunua duka hili mahitaji yako, mambo hayako mazuri unaenda duka jengine

vyama watu weshabadili sana tu. wala usiangalie kwa makengeza. wapo mwaka jana walikuwa ccm leo wapo cuf au chadema. pia juzi walikua chadema wameenda ccm kama wassira na wenzake

kuna majimbo wananchi waliwapa cuf uchaguzi uliofuata wakawapa ccm na uliofata wakawapa ccm kwa hio hamna duka litalosema lina hati miliki ya nyumba
 
- Nimeshitushwa sana na vitisho kutoka kwa Tume ya Katiba kwamba eti watajiuzulu iwapo matakwa yao ya kututengenezea Katiba mpya hayatakubaliwa, well;- nilisema toka siku ya kwanza Tume hiyo ilipotoa the so called "Rasimu ya Katiba Mpya" kwamba ilitakiwa siku ile ile wote waondoke. Kwa sababu mimi sijawahi kuona Tume ya kuandika maoni tu ya Katiba inavyojipachika madaraka makubwa kama tume hii, Mwenyekiti wao alikuwa anaongea kama vile amepewa kazi ya kutengeneza katiba wakati ukweli ni kwamba kazi yao ilikuwa ni kusikiliza tu maoni ya wananchi na kuyaandika chini na kuyakabidhi kwa Taifa tuyafanyie kazi wenyewe kwa kutumia Bunge letu la Taifa na sio anything else!

- Naomba kusema tena kwenye Katiba mpya tunaongelea Taifa letu wote sio la mtu mmoja, Tume ya Katiba wanatakiwa kuelewa kwamba wanatakiwa kujiuzulu kwanza kutoka kwenye kamati ndio waanze kudai madai yao kuhusu Katiba, tumewashuhudia wakipigana sana na Wananchi kwenye kuwasikiliza wakijaribu kila wanaloweza kulazimisha mawazo yao yawe ya wananchi ambayo yalikuwa ni makosa makubwa sana sio tu politically bali hata legally ninaamini walikuwa wanavunja kiapo chao cha kukusanya tu maoni ya wananchi na sio kuyatengeneza kama walivyofanya.

- Binafsi ninaamini kazi yao sasa imekwisha, waondoke ili kutupa nafasi Taifa kujadili tunataka nini. CCM ndio chama Tawala kinchoshika Dola na kukubalika na wananchi wengi kwa mujibu wa kura za uchaguzi wa mwisho uliopita so hakuhitaji kuwa na na hata majadiliano kwamba CCM ndio wenye upper hand katika kutengeneza katiba mpya kwa sababu ndicho chama kinachokubalika na wananchi wengi uthibitisho huo upo wazi kwenye idadi ya Wabunge ambapo CCM ina Wabunge 280 Chadema wana Wabunge 46 tu,

- I mean kwa political standards za Dunia maana yake ni kwamba Tanzania hakuna serious Upinzani kabisa na hata uchaguzi wa mwisho haukuwa na Competition rather than CCM against CCM itself. Tume ya Katiba wacheni kututisha na maneno maneno mengi hewa, hiyo nguvu ya kutuamulia Katiba mpya mmepewa na nani? Huu ni wakati muafaka mkaondoka kwa amani, tupeni maoni mliyokusanya halafu muondoke now!!, then mpige makelele yenu ya binafsi mkiwa nje ya kamati hiyo inakubalika kisheria sio sasa.

Le Mutuz on my way to Lushoto.

Ninasubiri ruhusa ya admn ili niweze kukupa tusi la lako na aliyekutuma humu ndani....! Dah ....ko...!
 
CCM bwana.....mwanzo mlikataa mchakato wa katiba na CHADEMA waliweka rasmi katika election manifesto.....leo mmedakia kila kitu......aliyewaambia mnaimiliki hii nchi alikosea sana

Alhamisi ya jana , disemba 02, vyombo mbalimbali vya habari nchini vilitawaliwa na kauli za Waziri wa Sheria na Katiba, Celina Kombani, alizozitoa wakati alipoongea na wanahabari ikiwa ni siku yake ya kwanza kiutendaji katika Wizara hiyo ambayo aliteuliwa hivi karibuni kuiongoza.Pamoja na mambo mengine, Waziri Kombani, alinukuliwa na vyombo akizungumzia juu ya suala la Katiba ya nchi, ambapo alidai kuwa hakuna haja ya kuwa na katiba mpya hivi sasa kutokana na sababu mbalimbali alizozitaja kubwa ikiwa ni ile ya serikali kutokuwa na uwezo.
Kwa hakika aliyoyasema Kombani, yaliwashtua Watanzania wengi, ambao walionyesha hisia zao kwa njia mbalimbali. Vyombo vya habari kama ilivyo kawaida yao vilikuja na vichwa mbalimbali vya habari ambapo gazeti la Mwananchi kwa mfano liliandika Waziri Kombani achafua hali ya hewa.

Naam, nakubaliana na kauli hiyo, lakini binafsi, siwezi sema kuwa imenishtua. Laa. Haijanishtua kwasababu lilikuwa ni suala la muda tu lililokuwa linasubiriwa kabla ya mambo kama haya kuanza kujitokeza, na binafsi, naamini kabisa kuwa katika awamu hii ya utawala (pengine kama ilivyokuwa awamu iliyopita ambayo pia ilikuwa chini ya JK), viongozi wa aina hii "The Kombani Type", tutaendelea kuwashuhudia na kuwasikia sana.

Back
Top Bottom