Nakuombea upate ajali kabla hujafika huko "Lushoto" maana kwa akili zako hizo ukiwakuta wasambaa wasiojielewa ni ujinga tu utawajaza vichwani mwao
Unatunisha mishipa bure tu. kubali yaishe.. Umeandika utumbo wa hali ya juu!! By the way CCM mnashupalia suala la katiba, kwani mlikuwa nalo katika ilani yenu ya uchaguzi?!!- Either huna hoja au huelewi hili darasa, Waliteuliwa kusikiliza na kuandika chini tu maoni ya wananchi sio kutuandikia maoni yao, so sasa wamekabidhi maoni tayari waondoke and then ndio walie lie wakiwa nje ya kamati not now!! Le Big Shoow!!
W. J. Malecela unasema tume ya katiba inalazimisha mawazo yeke ndo yawe ya wananchi, vipi kuhusu chama chako CCM ambacho nacho kinafanya juu chini kuhahakisha mawazo yeke ndo yanakuwa ya wananchi? Unadhani kwamba nacho kinatakiwa kitupishe? Naona unamwambia Huey freeman hapo juu kwamba nchi haiwezi kushindwa kutawalika kwa sababu ya wabunge 46 wa Chadema lakini mimi nikwambie kwamba hatuhitaji pia nchi hii iingie kwenye ghasia na misukosuko kwa sababu ya wabunge hao 280 wa CCM kwani hata wao pia si zaidi ya watanzania milioni 44!
Unatunisha mishipa bure tu. kubali yaishe.. Umeandika utumbo wa hali ya juu!! By the way CCM mnashupalia suala la katiba, kwani mlikuwa nalo katika ilani yenu ya uchaguzi?!!
- Chama changu CCM kina haki kisheria kuwaelimisha wanachama wake kuhusu interest yao kwenye katiba mpya so is Chadema, in the end wengi ndio wanaotakiwa kushinda sio Warioba na Chadema!!
LE Mutuz
Mimi ananichosha tu iyo ha ha ha ha yake kila mahala...I really wonder what is wrong with him!Hili zee akili yake nayo imezeeka......anaandika pumba tu utadhan kalala bar.
Utumbo!! Ulitaka tume ifuate matakwa ya magamba? If you suggest that they have to go what about your boss who appointed them? Would you advice him to go too?
Ulianza vizuri lakini ulipoweka uCCM ukanitoa nje, CCM ilipata kura nyingi kwa kuiba na hilo mnalijua, kama mnajiamini wengi wanawapenda mbona kila wakati mnakimbilia kwa mbwa wenu polisi?- Either huna hoja au huelewi hili darasa, Waliteuliwa kusikiliza na kuandika chini tu maoni ya wananchi sio kutuandikia maoni yao, so sasa wamekabidhi maoni tayari waondoke and then ndio walie lie wakiwa nje ya kamati not now!!
Le Big Shoow!!