Ni Wakati Muafaka Now kwa Tume ya Katiba Kuondoka!!;- They Should Go Now!!

umeanza vizuri baadae ukaharibu kusifia kijani
 
Kusema kweli kuna watu wenye mawazo ambayo ni janga kwa taifa letu. Huyu le mtuz una kasoro ktk kufikiri, hakuna mtanzania asiyejua muungano wa tanganyika na zanzibar una maswali? Wengi wamesema utazamwe upya viongozi wako wanapitapita ukiwemo wewe ukishawishi ubakie ulivyo na maswali. Kinyume na uliowatuma wakukusanyie maoni una akili za kichwa kipi wanaume tuna vichwa viwili ukiacha kutumia kichwa cha kawaida ukaanza kufikiri kwa kichwa cha chini ndy hayo. CCM isifikirie kuwepo ktk utawala milele kesho tu utakuwa mpinzani na wewe. Kuna mambo mengi ktk Katiba waachiwe wananchi siyo kushinikiza kwa vyeo vyenu. Muungano lazima ubadilike kwa matakwa ya watu, siyo wewe na wazee wako kulinda mambo yenu. Kuna vyeo vingi tu vinatakiwa viondolewe Waziri Mkuu asiye na madaraka, makamu wa rais na waziri mkuu kuna shida hapa. vyeo vya mikoani na wilayani makatibu tawala wakuu wa mikoa wakurugenzi wewe unafikiri lwa kutumia nini makalio au kichwa cha wapi, Hapa acha mambo ya vyama zungumza kama mtanganyika siyo kama baradhuri lenye kichwa kilicho jaa hewa ya kupuliziwa uccm acha bana unatuudhi kubwa zima
 

Kwa akili yako nchi inatawaliwa na wabunge? Hivi mzee wetu malecela alizaa nini hii?
 
Message sent & delivered.Kama kweli akili yako imekomaa na una busara ya kutosha basi utaufanyia kazi ushauri wangu.Asante

Ushauri wako kautolee huko kwa walevi wenzio sio hapa kwa great thinkers.
 
- Niufanyie kazi ushauri wa kuandika maoni yangu kwa kutumia jina la bandia? are you serious mkuu? ha! ha!

Le Mutuz

SAMAHANI WAKUU! AISHAKUMU SI MATUSI.

Waswahili wa Tanga tunasema, "MAVI YENYEWE NI UHARO, KISHA WAUTIA MAJI"?
 
W.Malecela, mengine hayo ni ya kusadikika
 
Utumbo!! Ulitaka tume ifuate matakwa ya magamba? If you suggest that they have to go what about your boss who appointed them? Would you advice him to go too?
anasema watanzania tuijadili halafu anasema ccm ndio upper hand.kumbe anaipigania chama ya masogange shame kwa muuza sura.
 

sababu ya wewe kutokwa na mapovu inajulikana, kwanza cc wananchi hatutaki ule utawala wa kifalme ambao nyie watoto wa vigogo ndo mnawekwa mjini nao, pili hatutaki raisi awe na power iliyopitiliza kiasi kwamba baba yako akienda kumlilia basi anakuchagua kiholela tu na kukupa madaraka flani, tunataka katiba yenye usawa na haki. sio sasa hv mnakamata vidagaa vya madawa ya kulevya kwa sababu big fish ni watoto wa vigogo, tunataka katiba ambayo hata raisi akizingua tunamshitaki na kumfunga hamna kitu inaitwa "kinga ya raisi" sasa kwa mantiki hyo mm sishangai kitendo cha wewe kutokwa na mapovu. Hizo barabara unazojisifia nazo hazijajengwa na hela za ccm zimejengwa na hela za walipa kodi wa tanzania ikiwemo mimi. so JIPANGE!!! Sio blah blah blah :welcome::welcome:
 

Willy hiki kiburi chenu ndiyo kinachowafanya watu wawachukie, ona majibu yenu kwa watu wanaouliza maswali mazito? Kwa nini usiwe kama mbunge wenu wa kigamboni?

Upinzani bungeni sio chadema tu, na wala sio wabunge46 tu ni zaidi ya mia na kitu, hao pia wanawawakilisha wananchi wengi zaidi u should respect them too:

Unaposema ccm ndiyo wengi una maana gani?
Kuwa katiba ya nchi itokane na ccm kwa vile wako wengi?

Bado nina imani na ww kwa vile nimeanza kukufatilia mda mrefu sana since uko marekani ila umekuja bongo bs kila kitu kimechange, mapungufu ya ccn hayasemi tena now ni kuponda cdm tu mwanzo mwisho, I blv trip hizo za ccm wazazi utajufunza mengi al the best man
 
Uhuru wa maoni unashida! Hatuna la kufanya ndiyo maana CCM sikuhizi inapukutika umaarufu maana aina ya watu wanaoishauri vichwani mwao ni sawa na ticketi maji
 
Sio kila mtu aliyepo duniani ana akili timamu, na ningeshangaa sana kama duniani tusingekuwa na watu kama huyu Malechela.

Kwanza, tume ya katiba ipo kisheria.

pili, ulitaka wakishasikiliza maoni ya wananchi "wafanyeje"? wakuletee wewe?

Tatu, Hapa hatuna ubishi na wingi wa CCM wala CCM kuongoza dola!!!

Nne, Tunataka katiba ya "Wananchi wote" nadhani hapa ndo tatizo lilipo kwa wanaccm, Neno " Wananchi wote" lina maana ya "Wananchi wote wa Tanzania" na wananchi wote wa Tanzania ina maana ya Wakulima, wafanyakazi, watoto, walemavu, wanafunzi, vijana, wazee, "vyama vyote" nk. sasa ccm wanataka "katiba yao wenyewe" hii haikubaliki.
 

Kwa umri wa miaka 55 unakuwaje mjumbe wa baraza kuu la UVCCM??

Kwa mtu uliyefeli shule, ukafeli maisha na unashindwa hata kuhudumia familia kila siku uko safarini kufukuzia posho za shs 80,000 kwa siku za CCM,,, utatufundisha nini watanzania?? Only cowards will learn from you...
 
Sijui unatoa wapi ujasiri wa kuandika mambo haya katikati ya kundi la watu walioichoka ccm? hivi hata kama hujaambiwa na Nape/Lukuvi useme unayosema hauoni kuwa yanachefua sana? Hauoni kuwa ccm inataka kupitisha katiba yake kwa maslahi yake ili kulinda viongozi wabadhirifu wazidi kuwa wabadhirifu? Sikutegemea kwa kukaa kwako nje miaka yote hiyo bado ungesimama hapa na kutetea utumbo unaofanywa na ma-ccm kwa faida zao na wala si kwa faida ya nchi yetu. Lakini ngoma ikivuma sana, ujue imekaribia kupasuka....mwisho waja, jiandaeni tu kung'oka muwapishe wenye uchungu na nchi yetu
 
chama ni kama duka, nchi kama nyumba. huwezi kuweka rehani nyumba kwa kilo ya mchele.

leo unanunua duka hili mahitaji yako, mambo hayako mazuri unaenda duka jengine

vyama watu weshabadili sana tu. wala usiangalie kwa makengeza. wapo mwaka jana walikuwa ccm leo wapo cuf au chadema. pia juzi walikua chadema wameenda ccm kama wassira na wenzake

kuna majimbo wananchi waliwapa cuf uchaguzi uliofuata wakawapa ccm na uliofata wakawapa ccm kwa hio hamna duka litalosema lina hati miliki ya nyumba
 

Ninasubiri ruhusa ya admn ili niweze kukupa tusi la lako na aliyekutuma humu ndani....! Dah ....ko...!
 
CCM bwana.....mwanzo mlikataa mchakato wa katiba na CHADEMA waliweka rasmi katika election manifesto.....leo mmedakia kila kitu......aliyewaambia mnaimiliki hii nchi alikosea sana


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…