Ni wakati muafaka sasa Mifugo itozwe kodi. Msukuma au Mmasai anamiliki zaidi ya ng’ombe 1,000 na hachangii chochote! It is not fair

Unafikiri wakitozwa kodi utamudu kununua nyama buchani?. Watu wa mazao ya kilimo na mifugo ni wa kupewa ruzuku si kuwaundia kodi
Good point hawa jamaa bwana; ruzuku ya madawa ya mifugo pamoja na ushauri wa ma bwana mifugo ni sifuri ila kwenye kodi masikio yanawasimama!!
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Sasa unataka nyama ipande
 
ulichonena ni sahihi kabisa, lakini wanasiasa hawawezi kukuelewa
 
Je uko tayali kuongezewa kodi ya chakula? maana mlishaji akiongezewa kodi nae anamuongezea bei mlaji, unadhani ni nani atakayekuwa analipa?kati ya mlishaji na mlaji?
 
Wale wanaouza na kununua miili nao watozwe kodi.
Mkuu,

Hakuna sheria inayosema kuuza mwili ni kosa na dhabu kuainishwa ndio maana wakikamatwa wanaadhibiwa kwa uzururaji pekee kwa hiyo ni ngumu kuwatoza kodi kwa kipato kisicho halalii wanachowatoza wateja wao. Sheria inayokingia kifua faragha ya mtu (privacy) ina siri kubwa.
 
Mkuu cement imefikla 25,000/= . Ukipembua vyema, utakuta kodi na tozo zingine inachangia hadi 10,000/=. Ukija kwa ngombe, bei ya dume la ngombe wa kisukuma linauzwa hadi milioni moja.
Wapi kodi ni kubwa kwa uwiano wa bei ya bidhaa?
ni wapi huko ambako cement inauzwa elf 25?
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Kwa hoja hii tutafikia wakati tutadai kodi hadi wakulima wa mazao ya chakula. Mtu akivuna tu gunia zake tano za mahindi inabidi azilipie kodi hata kama hajazipeleka sokoni kuziuza. Unapomwambia huyu azilipie hizo gunia tano una uhakika gani kuwa amefanya biashara? Kwa nini usisubiri atakapokuwa anaenda kuuza ndio umtoze ushuru katika zile alizouza maana hizo ndio amezifanyia biashara. Zingine ambazo hajaziuza ni kwa matumizi ya chakula, au mnataka walipe kodi hata ambapo hajafanya biashara yoyote?

Ninachojua ni kwamba kodi/ushuru ni pale unapokuwa umefanya biashara ie umenunua au kuuza kitu hapo unalipia ongezeko la thamani ya kitu ulichonunua au kuuza.

Mfugaji huwa analipa kodi pale akipeleka kuuza mfugo wake mnadani. Kuna ushuru wa makanyagio unapoingiza tu mfugo wako ndani ya mnada na yule aliyemnunua analipia ushuru pia akitaka kumtoa nje ya mnada.
Sasa ukitaka kuwatoza ushuru hata kwenye mifugo ambayo hawajaiingiza kwenye biashara, hiyo kodi unamtoza kwa sababu ipi ilihali huwa analipa ushuru wa biashara anapokuwa anauza au kununua? Serikali ikitoza kodi hapo ni sawa na kuanza kudai kodi sehemu ambayo hufanyi biashara.

Assume umenunua ng'ombe wawili, na umelipia kodi ya kuwanunua hao ng'ombe wawili. Ng'ombe hao ulionunua ikifika mwaka mwingine kwa maoni yako mwaka huo unatakiwa uwalipie kodi tena hao mifugo. Unalipa kodi kwa biashara gani uliyofanya kwa hao mifugo? Hujaingiza faida yoyote toka kwa hao mifugo na hata kama wamekua na thamani imeongezeka, ndiyo faida ipo ila bado hujawauza, sasa kwa nini ulipe kodi kabla hujauza. Na je ukiamua mmojawapo kumla nyama mwenyewe nyumbani na wewe unasema walipiwe kodi wote wawili kabla ya kuuzwa, hapo huoni kuwa mfugaji anakuwa analipa kodi kwenye kitu ambacho hajafanyia biashara? Hii ni sawa na mkulima avune gunia mbili mmwambie alipie kodi hata kabla hajaenda kuuza. Mmejuaje kama mavuno hayo ni kwa ajili ya chakula au kuuza? Kwa nini msisubiri akienda kuuza hayo mazao yake ndio mtoze kodi yenu na yale ambayo hauzi asitozwe kodi?
 
Kodi ya mifugo isiyojuliana inapatikanaje?

Mifugo haina vaccines wala matibabu yoyote.

Serikali ingepata chanzo maridhawa cha kodi kama hawa wanyama kungekuwa na subsides kwenye pembejeo na chanjo za uhakika. Pia wawe na bima ndio kingekuwa chanzo maridhawa cha ilivyo kwenye kodi na bima za magari.

Usione vyaelea mkuu wamaasai mpaka wanaywesha gongo wanyama wao wanapougua, maana hata dawa ya magonjwa mengine wao hawazijui.

Lazima serikali ikitaka hiki kuwa chanzo cha mapato iwekeze. Imagine katika mipango miji (master plan) huwezi kuona mahali pametengwa kama mahali pa kufuga au malisho ya wanyama.

Sasa hawa wanyama wanakuwa attached na makazi ya binadamu ila serikali haiwatambui hata kwa makazi tu halafu ukiite chanzo cha mapato. Magonjwa, ukame na udhoofu unapowakumba wanaokufa mpaka unaogopa.
Mifugo hulipiwa kaondi katika ngazi ya Halmaahauri, kuna kodi kibali cha kusafirisha, kuna ushuru wa machinjio, pia mifugo wanapokuwa kwenye minada hulipiwa ushuru. Wafanyabiaahara wa mazao ya mifugo pia hulipa kodi.

Kikubwa kinachohitajika ni kutoa elimu kwa wafugaji kufuga kisasa na kwa tija na sio kuweka kodi mpya maana atakayeumia ni mraji wa mwisho ambaye ni mimi na wewe.
 
Kwa hoja hii tutafikia wakati tutadai kodi hadi wakulima wa mazao ya chakula. Mtu akivuna tu gunia zake tano za mahindi inabidi azilipie kodi hata kama hajazipeleka sokoni kuziuza. Unapomwambia huyu azilipie hizo gunia tano una uhakika gani kuwa amefanya biashara? Kwa nini usisubiri atakapokuwa anaenda kuuza ndio umtoze ushuru katika zile alizouza maana hizo ndio amezifanyia biashara. Zingine ambazo hajaziuza ni kwa matumizi ya chakula, au mnataka walipe kodi hata ambapo hajafanya biashara yoyote?

Ninachojua ni kwamba kodi/ushuru ni pale unapokuwa umefanya biashara ie umenunua au kuuza kitu hapo unalipia ongezeko la thamani ya kitu ulichonunua au kuuza.

Mfugaji huwa analipa kodi pale akipeleka kuuza mfugo wake mnadani. Kuna ushuru wa makanyagio unapoingiza tu mfugo wako ndani ya mnada na yule aliyemnunua analipia ushuru pia akitaka kumtoa nje ya mnada.
Sasa ukitaka kuwatoza ushuru hata kwenye mifugo ambayo hawajaiingiza kwenye biashara, hiyo kodi unamtoza kwa sababu ipi ilihali huwa analipa ushuru wa biashara anapokuwa anauza au kununua? Serikali ikitoza kodi hapo ni sawa na kuanza kudai kodi sehemu ambayo hufanyi biashara.

Assume umenunua ng'ombe wawili, na umelipia kodi ya kuwanunua hao ng'ombe wawili. Ng'ombe hao ulionunua ikifika mwaka mwingine kwa maoni yako mwaka huo unatakiwa uwalipie kodi tena hao mifugo. Unalipa kodi kwa biashara gani uliyofanya kwa hao mifugo? Hujaingiza faida yoyote toka kwa hao mifugo na hata kama wamekua na thamani imeongezeka, ndiyo faida ipo ila bado hujawauza, sasa kwa nini ulipe kodi kabla hujauza. Na je ukiamua mmojawapo kumla nyama mwenyewe nyumbani na wewe unasema walipiwe kodi wote wawili kabla ya kuuzwa, hapo huoni kuwa mfugaji anakuwa analipa kodi kwenye kitu ambacho hajafanyia biashara? Hii ni sawa na mkulima avune gunia mbili mmwambie alipie kodi hata kabla hajaenda kuuza. Mmejuaje kama mavuno hayo ni kwa ajili ya chakula au kuuza? Kwa nini msisubiri akienda kuuza hayo mazao yake ndio mtoze kodi yenu na yale ambayo hauzi asitozwe kodi?
Ni asilimia ngapi ya idadi inayokwenda minadani na ile inayobaki kuchungwa kwa wafugaji?
 
Acha ufala! Kwan na wewe umeshindwa kumiliki? Ndio maana waafrica hatuendelei. Ukimwona mtu anahela kidogo unawaza kwenda kuchkua
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Wazo zuri Sana sema sasa snc ni ndugu zake sidhani
 
Wafugaji na Wakulima ni uti wa mgongo wa taifa, tunatakiwa tuwajenge na kuwapa ruzuku badala ya kuwadai kodi.
Watumishi wa uma na viongozi na wafanyakazi wa sekta nyingine huishi kwa kutegemea jasho la hawa wazalishaji wa msingi kwa namna moja ama nyingine.
Ni muhimu kuulinda na kuimarisha uti wa mgongo.
 
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.

Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.

Lakini, ukichunguza kwa umakini utagundua tatizo la msingi haliko kwao.

Tatizo ni ubunifu usiotosheleza wa nchi yetu katika kubainisha vyanzo vya kodi.

Vyanzo vikubwa kama Mifugo, vimeachwa bila sababu.

Kwa hesabu ndogo tuu, mfano Wilaya kama Meatu ina takriban ya ngombe zaidi ya laki nne. Ukitoza kodi angalau 2,000/= kwa kichwa cha ngombe kwa mwaka utapata almost 800 million, bado mbuzi na wanyama wengine.

Hiki chanzo kingeweza kupunguza lengo la makusanyo ya Wilaya yaliyoelekezwa kwa wafanyabiashara tu.

Halikadhalika, Serikali hutumia gharama kubwa kutengeneza miundombinu ya mifugo. Ni kwa nini gharama hizo zisitokane na kodi ya mifugo,badala ya kutumia kodi za wafanyakazi na wafanyabiashara.

Ni maoni yangu kuwa sekta zote za kipato rasmi,zichangie kwa usawa maendeleo ya nchi yetu badala ya kuelekeza nguvu zote kwa kundi dogo.
Kwa kweli kwa jinsi ambavyo wafanyabiashara wanavyong'ang'aniwa kodi hata biashara yenye thamani ya Ngo'mbe mmoja,basi naunga mkono hoja hii kwani ni muafaka kwa kipindi hiki ambacho hata ubatizo na kipaimara vinatakiwa kulipiwa kodi.
 
Kuna mdau kajibu vizuri. Shida sio kodi je serikali iko tayari kuwekeza. Maana hata sasa kinachowatia watu uvivu kulipa kodi ni hawaoni kodi wanayolipa inawasaidiaje kurahisisha shughuli yao.
 
Sisi wafugaji tuko tayari kulipa kodi hata iwe. Tsh 15,000 kwa mfugo..
 
Ni asilimia ngapi ya idadi inayokwenda minadani na ile inayobaki kuchungwa kwa wafugaji?
Idadi ni kubwa sana, chukua idadi ya ng'ombe wanaochinjwa na wale ambao wannunuliwa kwa ajili ya kufugwa hiyo ndio idadi ya wanaopita mnadani.

Mifugo inayobaki ni kubwa kuliko inayoenda mnadani na ukitaka inayokwenda minadani iwe kubwa kuliko inayofugwa basi ujue hapo mifugo wanaenda kuisha. Maana demand itakuwa kubwa kuliko supply, hivyo wanaofugwa wanatakiwa wawe wengi kuliko wanaoenda mnadani ili supply iendelee kukidhi mahitaji.
 
Tukirudi kwenye point, hata hao wanaochinjwa, anayelipa tozo zinazohusiana na uchinjaji bado ni "mfanyabiashara" . Wafugaji walisamehewa tozo zikahamishiwa kwa wafanyabiashara, hivyo hakuna mahala sheria inamtaka mfugaji alipie mifugo yake kodi kwa idadi aliyo nayo. I mean mwenye ngombe wengi achangie pato kubwa kuliko wa wachache! Hii iwe kama ilivyo kwa wafanyabiashara na wafanyakazi wanavyochangia kulingana na ukubwa wa biashara au kipato cha mshahara.
 
Back
Top Bottom