Hii Si kweli, Australia ina majimbo wala hakuna ukabila, South African ina majimbo wala haina ukabila, Canada ina majimbo wala haina ulkabila, namuunga mkono mleta mada (uzi huu). Na nampinga huyu Hamas. Yehodaya.Ulichosahau ni kuwa serikali za majimbo hufanya kazi kwenye nchi ambazo zina ubaguzi wa
1.Kikabila
2.Rangi
Nchi zenye tabia hizo ndizo hutumia utawala wa majimbo.
Mfano ni Marekani ,Afrika ya kusini,Kenya,Nigeria ,INDIA,SUDAN NK.Kumaliza ubaguzi wa rangi na wa kikabila ndio Nchi hugawanywa kwenye majimbo.
Majimbo ni kama nchi kamili kabisa yenye raisi wake ambaye ni GAVANA wa JIMBO.Mtu kutoka jimbo moja kwenda jingine sehem zingine huhitaji kuwa na kitu kama passport na visa ya kuingilia jimbo lingine.
Tanzania haina tatizo la ubaguzi wa rangi wala kabila.
Mfumo wa majimbo husababisha baadhi ya majimbo kuwa maskini wa kutupwa kama hayana raslimali.Mfano chini ya mfumo wa majimbo mkoa wa Morogoro ungeongoza kwa utajiri sababu umeme wote unatoka kidatu morogoro pesa zote za umeme nchi nzima wangetakiwa wapewe watu wa morogoro.
Bandari ya dar es salaa na uwanja wa ndege wa dar mapato yote yangekuwa ya dar tu hayaendi popote.Mikoa kama singida,dodoma,kigoma nk ingekufa maskini wasingekuwa hata na barabara ya lami.Marekani wanakotumia huo utawala wa majimbo kuna majimbo maskini hadi yanatia huruma.
Utawala wa majimbo ni wa wabaguzi wa kikabila na kirangi.
...au Kibarbaig....Ulichosahau ni kuwa .....
Utawala wa majimbo ni wa wabaguzi wa kikabila na kirangi.
Kwahiyo Zanzibar si nchi tena, bali ni Jimbo! Acheni kuwachokoza wazenji.Tanzania tuna majimbo mawili na yanasumbua kama nini.Kuna jimbo la Tanganyika na Jimbo la ZAnzibar.Kilichopo unakijua.Ukianzisha majimbo mengi zaidi ya ZAnzibar unaelewa mziki wake utakavyokuwa mmzito.Hili la Zanzibar tu pasua kichwa.
Hata wewe inaonesha hufahamu kitu kuhusu umeme mtera na kihansi vipo wapi? Hale na nyumba ya mungu vipo wapi? na hao wenye gasi mtwara huko wasingekuwa matajili? Makaa ya mawe.mchuchuma hivyo vyote vipo mikoa tofauti na vyote vinazalisha umeme sasa unapozungumzia umeme wa kidatu ndiyo unatumika nchi nzima sijui kama unafahamu kitu chochote hapo? Nikupe tu mfano mmoja mikoa ya kanda ya ziwa ina migodi ya madini kibao na baada ya kuona umeme ule wa mwanzo hautoshelezi wakaamua kupeleka mradi mwingine mkubwa wa backbone kutoka Iringa mpaka shinyanga. Sasa kwa nini wasitoe kidatu?Ulichosahau ni kuwa serikali za majimbo hufanya kazi kwenye nchi ambazo zina ubaguzi wa
1.Kikabila
2.Rangi
Nchi zenye tabia hizo ndizo hutumia utawala wa majimbo.
Mfano ni Marekani ,Afrika ya kusini,Kenya,Nigeria ,INDIA,SUDAN NK.Kumaliza ubaguzi wa rangi na wa kikabila ndio Nchi hugawanywa kwenye majimbo.
Majimbo ni kama nchi kamili kabisa yenye raisi wake ambaye ni GAVANA wa JIMBO.Mtu kutoka jimbo moja kwenda jingine sehem zingine huhitaji kuwa na kitu kama passport na visa ya kuingilia jimbo lingine.
Tanzania haina tatizo la ubaguzi wa rangi wala kabila.
Mfumo wa majimbo husababisha baadhi ya majimbo kuwa maskini wa kutupwa kama hayana raslimali.Mfano chini ya mfumo wa majimbo mkoa wa Morogoro ungeongoza kwa utajiri sababu umeme wote unatoka kidatu morogoro pesa zote za umeme nchi nzima wangetakiwa wapewe watu wa morogoro.
Bandari ya dar es salaa na uwanja wa ndege wa dar mapato yote yangekuwa ya dar tu hayaendi popote.Mikoa kama singida,dodoma,kigoma nk ingekufa maskini wasingekuwa hata na barabara ya lami.Marekani wanakotumia huo utawala wa majimbo kuna majimbo maskini hadi yanatia huruma.
Utawala wa majimbo ni wa wabaguzi wa kikabila na kirangi.
hoja ya ukabila naipinga, kama unamtazamo huo basi kumbuka kuwa kuna mikoa tanzania ina kabila moja tu. Mfano mkoa wa iringa baada ya kugawanywa ikabaki iringa ya wahehe tu...majimbo ni kweli mfumo wake utasaidia kusimamia vizuri rasilimali za nchiAfrika kusini balaa.Kuna wazulu wana majimbo yao,kuna watswana,wasotho,kuna wahindi,wazungu,na machotara wanaoishi cape town.Kuna mgawanyo wa majimbo unaolenga watu wa aina moja kuzuia migongano ya kikabila.
Australia kuna mchanganyiko wa watu kuna majimbo yenye watu wa aina ya waafrika,wazungu wa uingereza,ireland nk
canada pia imegawanyika kwa lafudhi ya makabila ya wazungu kuna majimbo ya wale wenye rafudhi ya kifaransa na kuna majimbo ya wale wenye rafudhi ya kiingereza nk
Huwezi kudanganya mtu kuwa hayo majimbo hayajagawanywa kikabila na rangi kwenye hizo nchi ulizotaja
Afrika kusini balaa.Kuna wazulu wana majimbo yao,kuna watswana,wasotho,kuna wahindi,wazungu,na machotara wanaoishi cape town.Kuna mgawanyo wa majimbo unaolenga watu wa aina moja kuzuia migongano ya kikabila.
Australia kuna mchanganyiko wa watu kuna majimbo yenye watu wa aina ya waafrika,wazungu wa uingereza,ireland nk
canada pia imegawanyika kwa lafudhi ya makabila ya wazungu kuna majimbo ya wale wenye rafudhi ya kifaransa na kuna majimbo ya wale wenye rafudhi ya kiingereza nk
Huwezi kudanganya mtu kuwa hayo majimbo hayajagawanywa kikabila na rangi kwenye hizo nchi ulizotaja
hiki ndo kinachotukwamisha kuwaza vyama kwanza kuliko nchisera ya majimbo sio sera ya ccm
subirini mwaka 2080 mkishachukua nchi
juwezi kuchukua nchi bila ya chamahiki ndo kinachotukwamisha kuwaza vyama kwanza kuliko nchi
Tatizo la serikali za majimbo ni kubwa kuliko unavyoweza kuwaza.Tuchukulie mkoa wa ARUSHA LIWE JIMBO.Linaweza kutaka kuwa JIMBO MFANO KWA kujidai tu kuwa lina mbuga kubwa kuliko zote duniani ya ngorongoro ambayo huingiza mabilioni ya dola.Lakini ukiunda serikali ya majimbo kuna taabu nyingine huibuka.Wakazi wa ngorongoro hawawezi kubali mapato yao ya ngorongoro yaende kuhudumia watu wa Arusha mjini.Watataka yote yabaki ngorongoro.Ukianzisha pia serikali ya majimbo UKAANZISHA jimbo la Kilimanjaro kwa kuwa tu una kiburi kuwa una mlima kilimanjaro ambao watalii huingiza mabilioni watu wa Marangu wanaoishi kuzunguka huo mlima watagoma kuwa mapato ya mlima yasiende kokote zaidi ya kwao.Hawawezi kubali mapato ya mlima wao yaende kuhudumia watu wa Machame kwa MBOWE au SIHA au upareni.Kila mtu kwenye eneo lake na raslimali zake.
Tatizo kama hili ndio ile vita ya kabila la Ogon kule nigeria ambako ken saro wiwa mpigania haki za kabila la ogon alitaka mafuta yanayozalishwa pale yawe ya kabila lake na yafaidishe kabila lake hapo yanapochimbwa.
Nyerere aliliona hilo ndio akataka serikali moja isiyo na ukabila au ubagguzi wa aina yoyote
Ukianzisha serikali za majimbo usidhani eneo lisilo na hizo raslimali litakuwa na dezo ya kufaidi kienyeji.Ukigawa majimbo kiraslimali unaenda hivyo hivyo hadi kivijiji nk kijiji kisicho na chochote kisitegemee dezo kutoka vijiji vingine vyenye raslimali.
Uzi wangu washauunganisha na uzi mwingine wa miaka hiyo. DaaahNgoja waje wapinga hoja.
Mikoa ya Simiyu, Mara na Njombe imeenda wapi?Ili kusonga mbele kama Taifa na kuleta maendeleo sawa kwa watu tubuni Majimbo since our Country is large tuingie kwenye mfumo huu. Na iwe hivi:
1. Mwanza, Kagera, Geita yawe BUKOBA STATE
2. Shinyanga, Tabora na Katavi yaitwe TABORA STATE.
3Dodoma, Singida na Morogoro yaitwe DODOMA DC STATE.
4. Dar, Pwani na Tanga yaitwe DAR ES SALAAM STATE.
5. Lindi, Mtwara na Ruvuma yaitwe COASTAL STATE.
6. Arusha, Manyara na Kilimanjaro yaitwe KIRIMANJARO STATE.
7. Kigoma na Rukwa yaitwe WEST STATE.
8. Mbeya, Iringa na Songwe yaitwe GREEN STATE,
9. UNGUJA STATE
10. PEMBA STATE.
Mimi naona hivyo, unaweza kuborasha ili kuweka usawa wa rasmali kwa STATES au COUNTIES zote.