N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Leo nimesoma RIPOTI MAALUM kwenye gazeti la Mwananchi kuhusu kushamiri kwa biashara ya Ukahaba hasa eneo la Sinza jijini Dar es salaam suala ambalo limewalazimisha baadhi ya wakazi wa eneo maeneo hayo kuhama makazi na hata kutelekeza nyumba zao kwa kuwa inawawia changamoto kulea watoto.
Wakati nikisoma Ripoti hiyo ndefu nikakumbuka kwamba leo Mei 30 2022 Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum (WAMJW) ilikuwa ikiwasilisha bajeti yao Bungeni...
CHANGAMOTO ZILIZOPO KUDHIBITI UKAHABA
Kuruhusu umalaya tunakaribisha mikosi kwenye jamii zetu........huu sio utamaduni wetu tusiweke harakati na siasa kwenye hili. TUDHIBITI UMALAYA.

- Hakuna Sheria rasmi inayokataza Ukahaba Tanzania SOLUTION itungwe;
- Hakuna usimamizi rasmi wa nyumba za starehe kujengwa katikati ya makazi SOLUTION ziondolewe zote zipelekwe maeneo kama ufukweni au pembezoni mwa nchi;
- Idadi ya Polisi ni ndogo kuwadhibiti malaya na Serikali za Mitaa zimelemewa SOLUTION Mgambo waingie kazini kuondoa malaya tusiharibu kizazi cha baadae.
Kuruhusu umalaya tunakaribisha mikosi kwenye jamii zetu........huu sio utamaduni wetu tusiweke harakati na siasa kwenye hili. TUDHIBITI UMALAYA.