Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Naomba kutumia fursa hii kukueleza alipo Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amanithen March 17, 2021 akatoa hukumu ya kweli. Magufuli yuko Jehanam
😅😅😅Unaamini kuwa kodi inazidi mpaka thamani ya dhahabu yote iliyowahi kuchimbwa hapa Tanzania!!! Au unafanya utani?
Chuki binafsi ya nini?. Kwa taarifa yako sisi ndio tumempokea Tundu Lissu Ilboru wakati anakuja kuanza form 1. Pia nikampokea alipokuja Atlanta Marekani. Na kama hujui ni mimi ndiye nilimshauri kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!Wewe unajulikana una chuki binafsi na Tundu Lissu hilo halina mjadala.
Kwanza japo ni kweli Mwigulu Nchemba ambaye na yeye pia ni mwana Ilboru kama Lissu, ni best kwenye urais, can make the best president, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini ni mimi niliyeusema ukweli huu Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweliMbona best wako Mwigulu Nchemba
Karibu mitaa hii Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .alivyochana bajeti kivuli ya kambi ya upinzani kwa maneno ya kejeli kubwa Bungeni hukutia neno?
Sina chuki na Tundu Lissu na wala siichukii Chadema bali nataka Chadema ifanye the right thing and do it rightWewe una chuki binafsi na Tundu Lissu na unaichukia Chadema kwa nguvu zako zote.
Nadhani wewe ni mmoja wa wale wasomi waliofanya utafiti wa uchafuzi wa mto Mara.Punguza mihemko Mkuu,hiyo ni kanuni na ethics za Research, scientific research report inapingwa kwa kufanya utafiti wa kisayansi tena.
Nasisitiza inayoendelea ni mihemko tu,mpaka ije ripoti nyingine ndiyo utafiti ule utakanushwa lakini siyo kwa pambio na taarab nyingi.
Yaani mwigulu ambae ndo anaongoza kwa kupoteza watu nchi hii ndo awe rais! Wewe utakuwa na matatizo ya kichwa...Mwigulu akiwa waziri wa mambo ya ndani ndo kipindi watu walikuwa wanaokotwa kila siku kwenye viroba. Hata Tundu Lissu ameshambuliwa yeye akiwa waziri wa mamboya ndani, hivyo atakuwa anajua au alishiriki moja kwa moja kupanga. Hebu niambie baada ya mwigulu kuondoka pale wizarani ulisikua nani katekwa au kaokotwa kwenye kiroba?Chuki binafsi ya nini?. Kwa taarifa yako sisi ndio tumempokea Tundu Lissu Ilboru wakati anakuja kuanza form 1. Pia nikampokea alipokuja Atlanta Marekani. Na kama hujui ni mimi ndiye nilimshauri kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Kwanza japo ni kweli Mwigulu Mchunga ni best kwenye urais, can make the best president, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini ni mimi niliyeusema ukweli huu Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Karibu mitaa hii Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .
Sina chuki na Tundu Lissu na wala siichukii Chadema bali nataka Chadema ifanye the right thing and do it right
Hivyo ukosoaji wangu wa jinsi Chadema inafanya mambo yake, sio ukosiaji wa chuki, ni ukosoaji wa kuwatandika bakora za kutosha, ambao japo unawaumiza mashabiki maandazi wa Chadema lakini ndio unao wasaidia sana Chadema kama chama kwa ile formula ya spare the rod and spoil the child!.
Mtu anayeichukia Chadema angeweza kuwapa mbinu hizi?
1. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
2. Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!
3. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...
4. Kwa Hili! Hongera Sana Chadema, Hongera Mhe. Mbowe!, Sasa Muwege Mnasikilizaga Ushauri!
5. Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!
P
Kama umeandika pumba vile?Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.
Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.
Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.
Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.
Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.
Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.
June 19, 2017
View attachment 2366316
Huyu fedhuli mbingu aisahau kabisa. Maana hata Shetani kamuweka section waliyopo akina Adolph, Benito, Nguema, Bokassa na AminiNaomba kutumia fursa hii kukueleza alipo Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
Mkuu Ulongupanjala, mimi nasisitiza heshima kitu cha bureKwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Amini usiamini, hao ndio unaweza kuwakuta peponi, halafu motoni ndio mkakutana na wenzio uliowadhania ni malaika.Huyu fedhuli mbingu aisahau kabisa. Maana hata Shetani kamuweka section waliyopo akina Adolph, Benito, Nguema, Bokassa na Amini
No kinawezekana ila kuna civility ya kuheshimu wasomi hata kama wanatema pumba hauiti pumba.Kwani kimantiki professorial rubbish ni kitu kisichowezekana?
True na hili tulilisema humu Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!Ile report ilikuja na viwango vya ajabu vya madini na ikapelekea wataalamu wetu kuja na makisio ya ajabu kabisa ni nini tunawadai acacia.
Baba yule kwa sasa ametangulia mbele ya haki, mwacheni apumzike kwa amani Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amaniHivyo report ile ilijaa hadaa. Sasa tunajua ni mengi tu baba yule alituhadaa. Na report zile hazikuwa sahihi. Zilikuwa Professorial rubbish.
Usijali wanao najua unawalipia ada wao watakuja kuelewaSerikali na CCM ni Kitu kimoja
Nikimkuta magu alieua kwa mkono wake ben satano mlango wa ikulu , ntaanzisha maandamano mbingunAmini usiamini, hao ndio unaweza kuwakuta peponi, halafu motoni ndio mkakutana na wenzio uliowadhania ni malaika.
P
Acha kukariri makaratasiUsijali wanao najua unawalipia ada wao watakuja kuelewa
P. Tuanze na la baba yule. Si wewe wala mimi tukifanya mazuri tutakumbukwa na tukifanya mabaya tutasemwa pale tufapo. Historia ya Tanzania haikamiliki bila JPM na yote mazuri na mabaya yake yatawekwa wazi. Kuhusu makinikia ni wazi msimamo wake lazima tuujadili.No kinawezekana ila kuna civility ya kuheshimu wasomi hata kama wanatema pumba hauiti pumba.
True na hili tulilisema humu Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
Baba yule kwa sasa ametangulia mbele ya haki, mwacheni apumzike kwa amani Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
P. Hapa niko tofauti na wewe, Kiongozi mzuri hawezi kuacha kupokea na kutafakari Ushauri/ maoni yalioyotolewa kwa kujali tu namna yalivyowasiloshwa.Mkuu Ulongupanjala, mimi nasisitiza heshima kitu cha bure
View attachment 2366449
Hii haikuwa lugha ya heshima au staha, hii ilikuwa lugha ya maudhi!.
P
Lugha ya kuudhi ni nzuri kwenye kuonya kama taifa lazima tukee ujinga na kujimwambafai kwa aina yeyote na kwa yeyote atakayefanya.Mkuu Ulongupanjala, mimi nasisitiza heshima kitu cha bure
View attachment 2366449
Hii haikuwa lugha ya heshima au staha, hii ilikuwa lugha ya maudhi!.
P
I heard something like this kuwa he pulled his own gun using his own hand and done him away!. I don't buy this!, I just don't believe that!.Nikimkuta magu alieua kwa mkono wake ben satano mlango wa ikulu , ntaanzisha maandamano mbingun
Si mngeomba tu kuliko kuwa blackmail kwa madai ya uongo? Au mliomba mkanyimwa mkaona muwabambikie kama ilivyokua ada?Wewe mpuuzi, hizo billion 700 zingetoka wapi? Wakati mwingine ficha ujinga wako