Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Ni wakati sasa kwa Serikali kumuomba radhi Tundu Lissu aliyeshauri mapema kuachana na madai ya Barrick

Wewe unajulikana una chuki binafsi na Tundu Lissu hilo halina mjadala.
Chuki binafsi ya nini?. Kwa taarifa yako sisi ndio tumempokea Tundu Lissu Ilboru wakati anakuja kuanza form 1. Pia nikampokea alipokuja Atlanta Marekani. Na kama hujui ni mimi ndiye nilimshauri kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Mbona best wako Mwigulu Nchemba
Kwanza japo ni kweli Mwigulu Nchemba ambaye na yeye pia ni mwana Ilboru kama Lissu, ni best kwenye urais, can make the best president, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini ni mimi niliyeusema ukweli huu Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
alivyochana bajeti kivuli ya kambi ya upinzani kwa maneno ya kejeli kubwa Bungeni hukutia neno?
Karibu mitaa hii Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .
Wewe una chuki binafsi na Tundu Lissu na unaichukia Chadema kwa nguvu zako zote.
Sina chuki na Tundu Lissu na wala siichukii Chadema bali nataka Chadema ifanye the right thing and do it right
Hivyo ukosoaji wangu wa jinsi Chadema inafanya mambo yake, sio ukosiaji wa chuki, ni ukosoaji wa kuwatandika bakora za kutosha, ambao japo unawaumiza mashabiki maandazi wa Chadema lakini ndio unao wasaidia sana Chadema kama chama kwa ile formula ya spare the rod and spoil the child!.

Mtu anayeichukia Chadema angeweza kuwapa mbinu hizi?
1. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
2. Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

3. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

4. Kwa Hili! Hongera Sana Chadema, Hongera Mhe. Mbowe!, Sasa Muwege Mnasikilizaga Ushauri!

5. Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

P
 
Punguza mihemko Mkuu,hiyo ni kanuni na ethics za Research, scientific research report inapingwa kwa kufanya utafiti wa kisayansi tena.
Nasisitiza inayoendelea ni mihemko tu,mpaka ije ripoti nyingine ndiyo utafiti ule utakanushwa lakini siyo kwa pambio na taarab nyingi.
Nadhani wewe ni mmoja wa wale wasomi waliofanya utafiti wa uchafuzi wa mto Mara.
 
Chuki binafsi ya nini?. Kwa taarifa yako sisi ndio tumempokea Tundu Lissu Ilboru wakati anakuja kuanza form 1. Pia nikampokea alipokuja Atlanta Marekani. Na kama hujui ni mimi ndiye nilimshauri kugombea urais Uchaguzi 2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!

Kwanza japo ni kweli Mwigulu Mchunga ni best kwenye urais, can make the best president, Mwigulu Lameck Nchemba, Is The Most Genuine So Far!-Can Make The Best President!-Nimeguswa! lakini ni mimi niliyeusema ukweli huu Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli

Karibu mitaa hii Je, Wanaoshangilia na Kupongeza Bajeti Wanajua Wanashangilia Nini? , Au Tunashangilia Ujinga?! .

Sina chuki na Tundu Lissu na wala siichukii Chadema bali nataka Chadema ifanye the right thing and do it right
Hivyo ukosoaji wangu wa jinsi Chadema inafanya mambo yake, sio ukosiaji wa chuki, ni ukosoaji wa kuwatandika bakora za kutosha, ambao japo unawaumiza mashabiki maandazi wa Chadema lakini ndio unao wasaidia sana Chadema kama chama kwa ile formula ya spare the rod and spoil the child!.

Mtu anayeichukia Chadema angeweza kuwapa mbinu hizi?
1. CCM Imechokwa, CHADEMA Haijajipanga!
2. Yametimia!, CCM Imechokwa!, CHADEMA Njia Nyeupe 2015!-Jipangeni!

3. Elections 2015 - Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni ...

4. Kwa Hili! Hongera Sana Chadema, Hongera Mhe. Mbowe!, Sasa Muwege Mnasikilizaga Ushauri!

5. Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

P
Yaani mwigulu ambae ndo anaongoza kwa kupoteza watu nchi hii ndo awe rais! Wewe utakuwa na matatizo ya kichwa...Mwigulu akiwa waziri wa mambo ya ndani ndo kipindi watu walikuwa wanaokotwa kila siku kwenye viroba. Hata Tundu Lissu ameshambuliwa yeye akiwa waziri wa mamboya ndani, hivyo atakuwa anajua au alishiriki moja kwa moja kupanga. Hebu niambie baada ya mwigulu kuondoka pale wizarani ulisikua nani katekwa au kaokotwa kwenye kiroba?
 
Ripoti za Mruma na Osoro juu ya Barrick/Acacia kulimbikiza deni hadi kufikia Trln 425 zilizua mjadala mkubwa ambapo aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu alizikosoa na kuziita ni “Professorial Rubbish Report”.

Lissu alitoa ushauri wake kuwa kutokana na repoti hizo Barrick hawatalipa hilo deni na wakilazimishwa wakienda MIGA watashinda. Lissu alibezwa alipuuzwa na baada ya siku chache alimiminiwa risasi kuwa ni msaliti anayeshirikiana na mabeberu.

Barrick walitoa fedha za (Good faith) US$ 300M sawa na tsh 700b tu kati ya deni lote.

Jana Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba kwa niaba ya serikali amesema serikali imeisamehe Barrick/Acacia deni lote.

Imeichukua serikali miaka mitano 5yrs kukubaliana na ushauri wa Lissu.

Uungwana ni vitendo mnyonge mnyongeni lakini haki zake apewe, Tundu Lissu aombwe radhi.

June 19, 2017
View attachment 2366316
Kama umeandika pumba vile?
 
Kwa hiyo mtu akiwa na PhD akiongea/kuandika ujinga uitwe werevu kisa yeye amesoma ana PhD?
Mm nasema hapana ujinga ni ujinga hata kama mtu ni mzee,ana digrii milioni tuwe wakweli kuna wasomi nchi hii ni mizigo na useless kabisa.
Mkuu Ulongupanjala, mimi nasisitiza heshima kitu cha bure
View attachment 2366449
Hii haikuwa lugha ya heshima au staha, hii ilikuwa lugha ya maudhi!.
P
 
Huyu fedhuli mbingu aisahau kabisa. Maana hata Shetani kamuweka section waliyopo akina Adolph, Benito, Nguema, Bokassa na Amini
Amini usiamini, hao ndio unaweza kuwakuta peponi, halafu motoni ndio mkakutana na wenzio uliowadhania ni malaika.
P
 
Kwani kimantiki professorial rubbish ni kitu kisichowezekana?
No kinawezekana ila kuna civility ya kuheshimu wasomi hata kama wanatema pumba hauiti pumba.
Ile report ilikuja na viwango vya ajabu vya madini na ikapelekea wataalamu wetu kuja na makisio ya ajabu kabisa ni nini tunawadai acacia.
True na hili tulilisema humu Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!
Hivyo report ile ilijaa hadaa. Sasa tunajua ni mengi tu baba yule alituhadaa. Na report zile hazikuwa sahihi. Zilikuwa Professorial rubbish.
Baba yule kwa sasa ametangulia mbele ya haki, mwacheni apumzike kwa amani Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
No kinawezekana ila kuna civility ya kuheshimu wasomi hata kama wanatema pumba hauiti pumba.

True na hili tulilisema humu Maendeleo ya kweli Tanzania yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike!

Baba yule kwa sasa ametangulia mbele ya haki, mwacheni apumzike kwa amani Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
P. Tuanze na la baba yule. Si wewe wala mimi tukifanya mazuri tutakumbukwa na tukifanya mabaya tutasemwa pale tufapo. Historia ya Tanzania haikamiliki bila JPM na yote mazuri na mabaya yake yatawekwa wazi. Kuhusu makinikia ni wazi msimamo wake lazima tuujadili.
Kuhusu hao maprofesa wetu Lisu alitumia medani za kisiasa ni kweli lugha inauzi lakini ni sahihi kwa profesa msomi kudanganya/kuhadaa watanzania kwa faida za kisiasa ? Na hiyo phrase " professorial rubbish" inakumbukwa zaidi kuliko angetumia maneno mengine. Maprofesa wetu wakiandika ripoti watajiuliza mara mbili mbili kama wanatoa Prof. Rubbish au vipi. Waache wabebe misalaba yao.
 
Mkuu Ulongupanjala, mimi nasisitiza heshima kitu cha bure
View attachment 2366449
Hii haikuwa lugha ya heshima au staha, hii ilikuwa lugha ya maudhi!.
P
P. Hapa niko tofauti na wewe, Kiongozi mzuri hawezi kuacha kupokea na kutafakari Ushauri/ maoni yalioyotolewa kwa kujali tu namna yalivyowasiloshwa.

Kiongozi wa naman hii ni mungumtu anayetaka kuabudiwa lakini zaidi anayekuwa ametawaliwa na chuki binafsi kuliko maslahi ya taasisi yake au watu anaowaongoza.
 
Nikimkuta magu alieua kwa mkono wake ben satano mlango wa ikulu , ntaanzisha maandamano mbingun
I heard something like this kuwa he pulled his own gun using his own hand and done him away!. I don't buy this!, I just don't believe that!.

Ila kama ni kweli, karma imeisha mshughulikia, karma ina ubaya mmoja na uzuri mmoja. Ubaya wa karma unalipwa kwa kadri ya matendo yako, ukitenda uovu utalipwa uovu, ukiua, utauliwa, ila pia ukitenda mema utalipwa mema.

Mtu anaweza kutenda uovu halafu akatenda wema mkubwa kuliko ule uovu, huu wema ukaufuta ule uovu akashangaa kumkuta Osama, Gadafi na Saddam peponi halafu Bush, Blair na Obama wakaenda motoni!.

Karma pia ina uzuri mwingine, ukiadhibiwa na karma deni la karma linakuwa limelipwa in full na baada ya hapo unabarikiwa, hivyo huyu jamaa yuko peponi Voices From Within: Je, wajua yuko Peponi, Mbinguni, Kwa Baba yake? Why kumshutumu, kumsakama na kumsimanga? Aachwe apumzike kwa amani
P
 
Wewe mpuuzi, hizo billion 700 zingetoka wapi? Wakati mwingine ficha ujinga wako
Si mngeomba tu kuliko kuwa blackmail kwa madai ya uongo? Au mliomba mkanyimwa mkaona muwabambikie kama ilivyokua ada?

Bahati mbaya mkawakuta wazungu ni wasomi na hawaburuzwi, mkakubali wenyewe kukaa mezani.
 
Back
Top Bottom