Lanlady
JF-Expert Member
- Feb 27, 2019
- 1,836
- 6,303
Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada wa chakula kwa kaya maskini hapo baadae!