Huyu mwananchi mnyonge yeye kakatazwa kulima? Damnit !!!!Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Hakuna mazao yanayolimwa kwa ajili ya chakula tu we mzembe wa kufikiri. Hii classification ni ya kizamani Sana. Siku hizi kila kitu ni biashara kasoro mate na pumzi yako tu ndiyo bure. Imbecile !!Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi.
Serikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
Whatever! Kwahiyo mkulima aumizwe kwasabb ya wazembe?Sidhani kama unaelewa kinachoendelea duniani. There’s a looming global food crisis!
Whatever! Kwahiyo mkulima aumizwe kwasabb ya wazembe?
Na mbaya zaidi wanauza mengine yakiwa bado shambani.Haumizwi. Mkulima huyo huyo atakuwa hana chakula!
Unawajua vizuri wakulima wetu wewe? Huwa wanauza mpaka wanajimalizia chakula. Baadaye wanaanza kwenda mjini kununua chakula hicho hicho kwa bei mara mbili au tatu ya bei waliyouzia wenyewe.
Haina shida. Mkulima atakayefanya hivyo akili itamkaa sawa njaa ikimtandika. Msimu mwingine atakumbuka kuweka akiba.Haumizwi. Mkulima huyo huyo atakuwa hana chakula!
Unawajua vizuri wakulima wetu wewe? Huwa wanauza mpaka wanajimalizia chakula. Baadaye wanaanza kwenda mjini kununua chakula hicho hicho kwa bei mara mbili au tatu ya bei waliyouzia wenyewe.
Haumizwi. Mkulima huyo huyo atakuwa hana chakula!
Unawajua vizuri wakulima wetu wewe? Huwa wanauza mpaka wanajimalizia chakula. Baadaye wanaanza kwenda mjini kununua chakula hicho hicho kwa bei mara mbili au tatu ya bei waliyouzia wenyewe.
Njaa ya safari hii itakuwa tofauti sana na njaa zilizotangulia. It’s a global famine; ni kama hakuna wa kumsaidia mwenzake!
Haina shida. Mkulima atakayefanya hivyo akili itamkaa sawa njaa ikimtandika. Msimu mwingine atakumbuka kuweka akiba.
Nyie wajinga wajinga ambao hamjawahi kulima huwa mna akili za kipumbavu sana.
Nimeweka 25m kwenye maharage, mahindi na alizeti bila msaada wa mtu. Mahindi yamekauka kule hanang kwasababu mvua zilikata.
Sasa unadhani hela yangu itarudije kama sijaenda kuuza masoko mazuri kenya na south sudan?
Jinga Sana hili hofu yake Ni kufa na njaa, mbona mbolea imetoka 55000 mpaka 130000 alikuwa kimya kuona mazao yanauzwa kelele kibao.Mbona wakati tunanunua mbolea na pembejeo zingine kwa bei kubwa hamkuja kipiga kelele....[emoji2955][emoji2955][emoji2955] acheni unafiki
Sasa ndg, kila mtu akilima nani atanunua hayo mazao kwa mwingine?Yaani wanyonge wamelemaa sana hawawezi hata kujitafutia chakula. Nenda kalime uone kama ni rahisi
Umeelewa nilichoandika? Unafahamu gharama za kilimo wewe au unaongea tu? Serikali iache ujinga. Hawaku subsidize bei za mbolea, mbegu na vitendea kazi halafu walete ujinga tukishavuna.Tumia busara. This isn’t business as usual. Mkulima mwenyewe atakitafuta chakula na hatakipata. Hela ina maana tu kama kuna kitu cha kuitumia kununua; otherwise, utakufa njaa na pesa yako mfukoni.
Sasa ndg, kila mtu akilima nani atanunua hayo mazao kwa mwingine?
Binadamu tunategemeana. Hao hao wakulima mwisho wa siku watakuja kununua unga wa ngano, mahindi, mchele kwa bei ghali toka kwa wale waliowauzia.
Kwasasa bidhaa nyingi zimepanda bei. Na nchi za jirani zina hali mbaya kwasababu ya athari za lockdown..
Kuzuia ni kwa muda tu hadi hapo msimu mwingine utakapokuwa sawa!