Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Umeelewa nilichoandika? Unafahamu gharama za kilimo wewe au unaongea tu? Serikali iache ujinga. Hawaku subsidize bei za mbolea, mbegu na vitendea kazi halafu walete ujinga tukishavuna.
Hao tunawalipa tozo zao baada ya mateso yote halafu watupangie pa kuuza? Waachane na sisi tutafute masoko wenyewe.
Tuna kiongozi wa Ajabu sanaTuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada wa chakula kwa kaya maskini hapo baadae!
Tuacheni na sisi Wakulima tufaudu kidogo!Tuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada wa chakula kwa kaya maskini hapo baadae!
Badala ya kukaa mitandaoni na kupiga majungu ingieni shambani mjiokoe na njaaTuna kiongozi wa Ajabu sana
Bora iwe hivyo ili tutambue pesa sio Kila kituTumia busara. This isn’t business as usual. Mkulima mwenyewe atakitafuta chakula na hatakipata. Hela ina maana tu kama kuna kitu cha kuitumia kununua; otherwise, utakufa njaa na pesa yako mfukoni.
Hawa ndio wapumbafu wanaona KAZI ya kulima ni ya kuumiza watu bila faidaSerikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
Stupid huyo achana naeSerikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
usiwe fala tumia akili kwa hiyo tumbo lako unaliona lina maana sana sio lazima ule ugali au waliTuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada wa chakula kwa kaya maskini hapo baadae!
Samahani lakini naona kama vile hauwezi kuona mbali zaidi ya leo!! Ni kweli kuwa bei ya vyakula hususan mahindi na mchele ni kubwa kwa majirani zetu huko nje kama kenya na uganda! Lakini tujue kuwa kuna upungufu mkubwa wa chakula huko duniani. Tatizo ni kwamba chakula hicho hicho am,bacho wakulima wanakiuza huko nje wanaweza kuja kulazimika kukinunua tena kwa bei kubwa mara mbili! Wakulima wetu wana tabia ya kuuza vyakula bila kuweka akiba ya kutosha ya chakula. Na pesa wanazopata kwa kuuza chakula hicho huwa tayari wameshazitumia. Kwa hiyo njaa ikitokea serikali hulazimika kugawa chakula bure kwa gharama kubwa sana. Ilitokea hivyo mwaka 1974 na mwaka 1984. Kwa maana hiyo serikali ina haki na wajibu wa kuzuia uuzaji wa vyakula nchi za nje kama ikiona viashiria vya upungufu wa chakula duniani kama ilivyo kwa sasa! Mataifa mengine kama India tayari yameshazuia uuzaji wa vyakula nje ya nchi zao!Serikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
Huyu hata jibu baya la kumpa sina wakati wanapata maafa wanaumwa na manyoka wanaugugua maradhi yasiyotibika kutokana na madawa ya shambani hukubdarvwapo kwenye disco wanachezea viuno vya wakina mamaSerikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
Nchi inayo wajali watu wakek24 LogoTuache siasa za kujipendekeza kwa mataifa mengine, na kuwatesa wananchi wanyonge.
Serikali izuie uuzaji wa mazao ya chakula nje ya nchi. Hali inazidi kuwa mbaya.
Mikoa iliyopo mpakani mazao yanasafirishwa kwa wingi kwenda nje ya nchi.
Serikali iingilie kati, ama sivyo ijiandae kutoa msaada wa chakula kwa kaya maskini hapo baadae!
Umeongea vema kabisa.Serikali izuie mazao ya Nani yasiuzwe nje ya nchi? Yaani mkulima ahangaike kulima na kuvuna peke yake halafu serikali imzuie kuyauza sehemu apendayo ili apate faida? Ujinga kabisa.!
Halafu serikali imzuie mkulima kuuza nje ya nchi kwa sabb yako wewe unayeshinda mitandaoni?? Nenda kalime na wewe. Shubamiti!
Kama una ona bei za mazao ziko juu nenda ukalime yako. Nyama wewe!
Wapumbavu sanaHawa ndio wapumbafu wanaona KAZI ya kulima ni ya kuumiza watu bila faida