Ni wakati sasa Serikali iingilie kati suala la wadada wanaojiuza

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
Hi biashara sasa imekua holela sana, yani hawa wadada wanaamua popote kambi, mtaani imekua kero sana.

Sehemu haina baa wala nini lakini wanamua kuchukua nyumba na kuweka kambi.

Nimeshangaa kukuta wadada wanaojiuza kinyerezi mbuyuni na segerea chama sehemu ambayo haina baa na pako kimya ni makazi ya watu, tena saa tatu tayari wako barababarani.

Ku pretend hili suala halipo, ni kuweka vichwa vyetu kwenye mchanga huku miili yote iko nje.

Ni vema sasa hawa watu wawe na maeneo maalum ya mambo yao, watuachie mitaa /maeneo ya makazi. Si jambo jema kabisa.

Hata ni mtaa moja basi wapeni wakae
 
Hii biashara ilikuwepo kabla hata ya Yesu na itaendelea kuwepo. Waiwekee mazingira sahihi watu walipe kodi.
Haiwezekani pesa nzima nzima wanayopokea isikatwe kodi. 140k mpaka 180k kwa mwaka inatosha kabisa kwa kila kahaba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…