Ni wakati Sasa SUMMAA JKT Kufungua MADUKA ya kuuza SILAHA ZA MOTO NCHINI

Ni wakati Sasa SUMMAA JKT Kufungua MADUKA ya kuuza SILAHA ZA MOTO NCHINI

D

DeletedMember281674

Guest
Hii itasaidia kuimarisha Mapato yao kwani Raia na Kampuni za Ulinzi zitanunua Silaha hizo kutoka kwenye Maduka yao kama ilivyo kwa TANGANYIKA ARMS na hii pia itasaidia Serikali kupunguza matumizi na utegemezi wa Middlemen wapiga deal ambapo Majeshi yetu yote nchini yatanunua Silaha hizo kutoka SUMMA JKT
 
Brigedia Generali Petro Ngata - Mkuu wa SUMMA JKT afikishiwe hili wazo aweze Fanya kazi
 
Mbona yapo maduka ya bunduki mkuu, ukifika pale iringa CRDB ya zamani kuna duka la bunduki
 
Sawa silaha tunahitaji sana kila Mtu anunue..utekaji umezidi..wakija tu ni Ile -pyu pyuu- ya Sugu.
 
tutachapana kwa visasi vya mapenzi hadi akili ikae sawa.,
 
Ni wazo tu kama Sheria inawaruhusu wachangamkie fursa
Biashara silaha Tanzania hailipi kihivyo ....maana sheria kali sana hadi kupata kibali...mzunguko wake mgumu sana .....najua jeshi pale ngome wana duka lao ila halina tija sana .....pia hata sialaha zao sio za wakati wa mbele linganisha na Tanganyika arms
 
Back
Top Bottom