D
Mmmmmmm haya ni wazo litafakariweeeeBrigedia Generali Petro Ngata - Mkuu wa SUMMA JKT afikishiwe hili wazo aweze Fanya kazi
Ni wazo tu kama Sheria inawaruhusu wachangamkie fursaMmmmmmm haya ni wazo litafakariweeee
Biashara silaha Tanzania hailipi kihivyo ....maana sheria kali sana hadi kupata kibali...mzunguko wake mgumu sana .....najua jeshi pale ngome wana duka lao ila halina tija sana .....pia hata sialaha zao sio za wakati wa mbele linganisha na Tanganyika armsNi wazo tu kama Sheria inawaruhusu wachangamkie fursa