Sambusa kavu
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 806
- 1,296
Narudia tena, hawa jamaa wawili hawawezi kucheza pamoja bila kuruhusu magoli.
Kwanza wanategeana, kila mmoja anataka kuwa wa mwisho.
Pili wote wanaumwa na kujiamini kupita kiasi, wanapenda kupanda mbele kwa ku dribble mipira matokeo yake wakipoteza tu mpira, basi ujue unahesabu kamba golini kwako.
Mechi ya jana ilimuhitaji beki kisiki hasa, beki asiependa misifa ya hovyo ya kuwafurahisha mashabiki, Kenedy Juma!
All in all, hawa wachezaji wa kigeni wote naona kama vile hawaelewi nini maana ya Derby.
Saidoo, Baleke, Inonga, Che Malone, Ngoma yaani mmepigwa 5 halafu bado mnacheka cheka tuu! Mara mnakumbatiana mara mnapiga story, aiseeee! Yaani 5 kwenye derby halafu bado unachukulia poa poa tuuu, hawakuona chozi la Shabalala, kapombe?
Derby ni Derby, inaumaaaaa balaaaaah. Kuna haja ya kuwaambia hawa wageni waahe ujinga wao wa kuona mechi ya Derby kama vile ni mechi ya kawaida tuu....tumewamaindiii!