Ni wakati sasa wa ama Che Malone au Inonga kusugua benchi

Ni wakati sasa wa ama Che Malone au Inonga kusugua benchi

Uko sahihi kabisa..Ila kwa maoni yangu ingewezekana kabisa Che Malon asogee juu atengenezwe acheze kiungo Cha ukabaji halafu Henonga a double na Kennedy ..
 
Ndio shida yenu hii kupenda bure na kuokotaokota.

Wachezaji wananunuliwa kwa kuvunja mkataba.
Sasa mkuu😂😂 tutamnunua vipi mtu ligi inaendelea na dirisha bado
Ndo maana nikauliza
Unongea tu kwani mudathir mlimnunua nyinyi au?
 
Uko sahihi kabisa..Ila kwa maoni yangu ingewezekana kabisa Che Malon asogee juu atengenezwe acheze kiungo Cha ukabaji halafu Henonga a double na Kennedy ..
Simba hawana kocha wa kupandisha wachezaji na kuwabadilisha wachezaji viwango , wachezaji wengi wabovu na bado hawana kocha wa kuwasaidia ,ayo unayosema anatakiwa kocha kwel ,, ukiifuatilia simba pamoja na kuwa na wachezaji wabovu pia hawana kochawa viungo wala kocha mkuu ndio maana hawabadilik ,,,, kipigo cha jana watasahau tu wanaendelea na yao , kila siku nasema kama simba wangekua watu wa kujifunza mechi ya south waliyopigwa nne ilionyesha mapungufu yao na nn wafanye ,wangeanzia pale saiz wangekua mbal , tatzo la simba na asa viongozi wabishi na wanaishi kwa historia
 
Ukweli inabidi usemwe tu aisee...hivi Robertinho ndo wa kujitetea kwamba eti baada ya KIBU DENGA kuumia mipango ikaharibika, kwa maana iyo timu nzima inamtegemea Kibu tu?

Upo nyuma,unacheza na Yanga ambao wako vizuri halafu sub zako sasa, Miquisson!! kibonge ambae kila mpira unaompigia yeye lazima au dribble kwa kurudi golini kwake....

Onana! bishoo mvaa heleni kila mpira ukimpigia anaanza kumsubili mpinzani aje halafu ndo aanze kuchezesha chezesha vimiguu vyake?!!!

Heheheheehe, nacheka lakini naumia balaaah k**mamaae walaaah daaaah
 
Kati kuna Aucho, Mudathir, kuna Pacome na Azizi Ki, kisha unamuweka Fabrice Ngoma?
 
Back
Top Bottom