Ukweli inabidi usemwe tu aisee...hivi Robertinho ndo wa kujitetea kwamba eti baada ya KIBU DENGA kuumia mipango ikaharibika, kwa maana iyo timu nzima inamtegemea Kibu tu?
Upo nyuma,unacheza na Yanga ambao wako vizuri halafu sub zako sasa, Miquisson!! kibonge ambae kila mpira unaompigia yeye lazima au dribble kwa kurudi golini kwake....
Onana! bishoo mvaa heleni kila mpira ukimpigia anaanza kumsubili mpinzani aje halafu ndo aanze kuchezesha chezesha vimiguu vyake?!!!
Heheheheehe, nacheka lakini naumia balaaah k**mamaae walaaah daaaah