Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Bangi inafaida kuliko inavyozungumzwa na wala haina madhara kama inavyozungumzwa. Ndani ya bangi kuna kemikali moja nzuri sana ambayo inasaidia kuongeza hamu ya kula. Baada ya wataalamu kuona faida hiyo, wakaiga kemikali hiyo na kutengeneza dawa ya kusaidia kuongeza hamu ya kula. Dawa hiyo hupewa sana wagonjwa wakansa ambao hutumia madawa makali. Madawa makali ya kansa husababisha ukosefu wa hamu ya kula.
Bangi ni dawa nzuri sana ya hangover. Kuvuta au kupata supu ya bangi ni tiba bora sana ya hangover. Licha ya hivyo wakati huohuo ni mboga pia. Pia mbegu zake zina mafuta na mashina yake yanaweza kutoa nkamba na nyuzi. Faida ninyingi sana. Hizo hapo ni chahce tu.
Pia bangi haina madhara kama inavyosemwa. Ujerumani imehalalisha matumizi ya bangi. Juzi wakati wa kuanza kwa mashindano ya Euro imewashauri mashabiki kutumia bangi badala ya pombe ili kupunguza vurugu viwanjani.
Nchi nyingi zimeishaona umuhimu wa bangi.
Nchi za Bluu zimehalalisha. Nchi za njano hazijahalalisha lakini si kosa kuvuta bangi. Nchi za pinki ni kosa kuvuta bangi lakini mara nyingi haushtakiwi. Nchi nyekundu zimepiga marufuku