NostradamusEstrademe
JF-Expert Member
- Jul 1, 2017
- 3,402
- 4,532
Kabla ya bangi tuanze na gongo kwanza kuhalalishwa.Ni kweli gongo ina madhara sana kwa sababu moja inatengenezwa kienyeji sasa kwenye ile process ya distillation kile kilevi kinachoitwa ethanol ambacho ndio kiko kwenye pombe zote kinakatiza na kilevi kingine kinaitwa methanol ambacho ni sumu kinamadhara makubwa kuua macho na mengine ndio maana serikali ikaingilia kati.
Sasa na sisi watanzania tungeweka vigezo watu watengeneze gongo wauzie serikali.Serikali sasa kitaalamu wanatoa hiyo methanol inabaki pombe yenyewe.
Uganda wao wanafanya hili ile gongo inauziwa serikali inatoa sumu ndio sasa wanaita Uganda Waragi.
Hata muheshimiwa Magufuli RIP alishagusia hii kitu kumbukeni muheshimiwa alikuwa mkemia.