Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
bangi ni haramu Ahmada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]6.Bangi inakufanya ujiamini uondoa woga
7.Bangi uleta hisia kali za utajiri waweza kuona maghorofa yote yaliyo mjini ni yako.
Hakuna anyetaka uvute, tukiwa wachache ndiyo bora zaidi?Unafikiri kwa maneno machache waweza nifanya Nivute?
uko sawa sivuti bangi ila bangi inabei kubwa mno imagine msokoto mmoja tu unauzwa shs1000 kwenye sado kuna misokoto mingap?Elfu 21 ni uchafu...bangi nzuri sado 1 hata laki huwezi kupata