ni wazo zuri tuwape kazi sua tmda na prof janabi wafanye research ya kiwango kitakacho faa for human consamption. then tukae na tcc watengeneze cyger maalum zenye viwango stahili cha bangi, kwenye uzalishaji tufanya controlled agriculture, walima bangi wawe na mashamba maalumu yenye kufuata taratibj zilizowekwa serikali.
tunayo mashamba ya mbegu haya yanaviwango na yanasimamiwa na wizara. tunaweza fanya pia kwa mashamba bhange. pia tunaweza zalisha bhange ya exports, sie hatuvuti bhange sawa kuna shida gani ikalimwa kwa ajili ya kuexport kwenda nchi za wavuta bangi.