sonofobia
JF-Expert Member
- Jun 21, 2015
- 1,171
- 4,295
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.
Tuisaidie serikali, sanamu lijengwe wapi?
Mimi nashauri lijengwe Ubungo pale ilipokuwa stend badala ya kuwapa mafisadi eneo lile pawekwe mnara mkubwa wenye sura ya Magufuli na garden yenye muonekano wa kiafrica.