Ni wakati sasa wa kujenga sanamu la Magufuli. Tukubaliane kama nchi tulijenge wapi?

Wezi,wauaji, wafanya mapenzi yaejinsia moja wapo pale ufipa na kule msoga

Nyie jifanyeni vichaa wakati mnaakili nzuri tu. Mapenzi ya jinsia moja alikuwa anafanya makonda kamuulize. Halafu muuaji namba moja alikuwa Magufuli na mwizi namba moja alikuwa Magufuli trilioni 1.5 mpaka Leo hazijulikani zipo wapi. Sijui CCM ilimtoa wapi yule mtu utadhani hakuwa mtanzania.
 
Mkuu yule mwamba alikuwa na maono, wewe uliyepata kibarua serikalini kwa vyeti feki akakubalasa huwezi kumuelewa. Visionary leaders wanaeleweka baada ya muda fulan kama sasa hivi nchi imeelewa vision kubwa aliyokuwa nayo baba yetu Magufuli.

Maono ya kulima watu Risasi na kupeleka Kodi za wananchi chato?. Miradi yote aliyojenga ilikuwa kwenye mpango wa miaka mitano ya Taifa, Sio maono yake. Mtu anayependa kuabudiwa huwa Hana maono anapenda kufanya Mambo kwaajili ya kunirukuza.
 
Dikteta yupo ufipa pale kakalia kiti mwaka wa 20 sasa hivi

Na kinana je?. Au CCM imetawala miaka mingapi.?. Dictator Magufuli alitaka a
apendwe yeye tu na kutaka kufanya Tanzania ya kwake. mwisho kaiacha Tanzania aliyodhani anaimiliki.
 
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.

Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.

Tuisaidie serikali, sanamu lijengwe wapi?

Mimi nashauri lijengwe Ubungo pale ilipokuwa stend badala ya kuwapa mafisadi eneo lile pawekwe mnara mkubwa wenye sura ya Magufuli na garden yenye muonekano wa kiafrica.
Itabid mlilinde walinda legacy usiku na mchana. Laasivyo tutalibomoa
 
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.

Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.

Tuisaidie serikali, sanamu lijengwe wapi?

Mimi nashauri lijengwe Ubungo pale ilipokuwa stend badala ya kuwapa mafisadi eneo lile pawekwe mnara mkubwa wenye sura ya Magufuli na garden yenye muonekano wa kiafrica.
Lijengwe Mwanza.
 
Ijenge getoni kwako uwe unaiangalia na kuibusu kutwa mara tatu.
 
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.

Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.

Tuisaidie serikali, sanamu lijengwe wapi?

Mimi nashauri lijengwe Ubungo pale ilipokuwa stend badala ya kuwapa mafisadi eneo lile pawekwe mnara mkubwa wenye sura ya Magufuli na garden yenye muonekano wa kiafrica.
Ili iweje mkuu!

Mtu alikuwa kinara kuvuruga taratibu za uchaguzi na kuvunja misingi yote ya demokrasia.

Sipendi kuzungumzia kupandishwa madaraja waalimu na manesi
 
Kwa nini lisijengwe pale kwenye lango la kuingilia hospitali ya Mirembe na maandishi makubwa;
THIS MAN BELONGS HERE RATHER THAN CHAMWINO.
 
Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.
Hawa watoto ni sehemu ya watanzania.
1650520423532.png

Swali:
  • Je watanufaika vipi na uwepo wa hiyo sanamu?
  • Kwako ndugu sonofobia , Je nawe pia unaunga mkono wazo la sanamu?
1650520896346.png

===
Najaribu kuwaza kwa sauti.
 
Naanza kuamini mzee wa watu kawakuna wengi sana nchi za nje. Kutwa wanaanzisha viuzi, wanambeza, wanakimbia mafichoni.

Food for thought(FFT)
Kwa nini msiombe wajenge sanamu ya bibi mwenye shamba mnayempenda? mwenye kuongea kingreza? Au wingi wake wa kupiga hauonekani?
Tuwachieni Tanzania yetu.
 
Kwa kuwa Magufuli ameacha alama baada ya kifo chake na Africa inaendelea kumuenzi kwa namna alivyotutoa kimasomaso.

Watanzania wengi wameomba lijengwe sanamu la Magufuli iwe kama alama ya kumbukumbu ya kihistoria kwa Africa, ili watu kutoka mataifa mbalimbali duniani waje kumuenzi na kupiga picha za kumbukumbu.

Tuisaidie serikali, sanamu lijengwe wapi?

Mimi nashauri lijengwe Ubungo pale ilipokuwa stend badala ya kuwapa mafisadi eneo lile pawekwe mnara mkubwa wenye sura ya Magufuli na garden yenye muonekano wa kiafrica.
Inachukiza kabisa ujinga huu!
 
Back
Top Bottom