Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi.
Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo.
Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu atakapogundulika ni mjamzito.
Pia kuwepo na shule maalumu kwa wanafunzi waathirika na UKIMWI au kuwepo na alama kwenye mashati yao ya shule inayowatambulisha kuwa ni waathirika wa HIV
NI MIMI WAKO UWESUTANZANIA ✍️