Uwesutanzania
JF-Expert Member
- Feb 9, 2019
- 1,615
- 1,901
Naamini ndio njia sahihi sana kwenye kunusuru kizaziHuo ni unyanyapaa,kama ukiwatenga.
ILa una wazo zuri,namna bora ya kudhibiti hili ni kuhimiza Kupima Afya kwa watu wote.Naamini ndio njia sahihi sana kwenye kunusuru kizazi
Stigmatization Kwa wenye HIVKwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi.
Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo.
Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu atakapogundulika ni mjamzito.
Pia kuwepo na shule maalumu kwa wanafunzi waathirika na UKIMWI.
NI MIMI WAKO UWESUTANZANIA ✍️
We uliskia wapiMimba ndiyo imekuleta hata wewe, achana nayo hiyo ni baraka.
Ulishapima nini kinafuata?Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi.
Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo.
Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu atakapogundulika ni mjamzito.
Pia kuwepo na shule maalumu kwa wanafunzi waathirika na UKIMWI.
NI MIMI WAKO UWESUTANZANIA ✍️
Kuanza dawa kwa haraka na kuwaweka alama maalumu kwenye mashati yaoUlishapima nini kinafuata?
Lengo la kuandika hivi ni Nini hasa? Kuonyesha akili yako ilivyo ndogo Kama akili za mbu mpenda damu. Waathirika wawekewe alama we umeona wapi hili likifanyika?? Wakishawekewa kufuatacho ni Nini?? Acha kuwa na mawazo mgando kichwa Maji wewe..shahawa zako ulizopatiknana wewe Bora bab yako angemwaga nje kuliko kupata watu wenye akili kama zako.Kwangu haya mawili ni majanga makubwa kuliko majanga yeyote yaliyowahi kuwapata watoto (wanafunzi.
Naiomba serikali na wizara husika kuchukua hatua ya haraka ikiwemo ya kupima UKIMWI NA MIMBA kwa lazima kila wanaporudi likizo.
Pia kuwepo na njia salama za kutoa wanafunzi mimba changa pale tu atakapogundulika ni mjamzito.
Pia kuwepo na shule maalumu kwa wanafunzi waathirika na UKIMWI au kuwepo na alama kwenye mashati yao ya shule inayowatambulisha kuwa ni waathirika wa HIV
NI MIMI WAKO UWESUTANZANIA ✍️
Mhhh. Bro mbona kama umekosea nambaKikubwa ni kuwaruhusu kuanza mahusiano wakisha fikisha miaka kumi na nne ila watumie kinga.
Endeleeni kujidanganya hivyo hivyo eti umri wa sex ni miaka 18
Redio mariaWe uliskia wapi