HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Habarini,
Ni kitu cha kushangaza sana unamkuta daktari,mwalimu,injinia,wafanyabiasharan k walio katika ajira zao serikalini au binafsi na wanaukwasi wa kutosha kwenda kugombea majimboni kwa lengo la kutaka tena ulaji.
Sasa kuna watu wamesomea sayansi ya siasa na hawana ajira mijini na vijijini kwanini wasipewe kipaumbele wakagombea nafasi hizo kuanzia ngazi za vijiji hadi majimboni ili kuongeza wigo wa ajira??