Ni wakati wa Ali Kiba

Ni wakati wa Ali Kiba

Marlaw mkewe mwenyewe ni besta ambaye alikuwa msanii maarufu, kwa marlaw nadhani alikuwa na plani tofauti za kimaisha mbali na mziki ila kupotea ktk gemu msiseme kisa ni ndoa yake
Halafu kiba alipotea kwenye gemu kipindi mama wa mtoto wake walipoacha ilibidi aache mziki alee mwanae
 
Hakuna mwanzo usio na mwisho ikiwa wakati wa Diamond umefika tamati kwa mtazamo wako basi ifahamike kua iwe kwa uzuri au ubaya lazma mwisho ufike na kwa Ali Kiba nae wakat wake ukifika utaisha tu hakuna kidumucho wandugu iwe kwa kukosea wewe au kukoseshwa lazma mwisho ufike
 
Diamond ana karoho kawivu naye. Kaona harusi ya kibakuli leo akaona afanye boat party na tununu akiwepo ili kudraw attention. Kumbe watu wapo busy na harusi.

Mtu aje aseme chuki binafsi.
 
Mwenyezi Mungu kama kishamuwekea tick aliyemuumba basi mambo yake yatabaki kuwa mswano tu. DP kishajitengenezea kubwa ndani na nje ya Tanzania hivyo kama ataendelea kuheshimu kazi yake na kuheshimu wapenzi wake basi kutetereka itakuwa ngumu sana pamoja na hayo mazagazaga yake mengine.

Kamwe tusimdharau Diamond... Ana mafanikio kuanzia cash, umaarufu, kutoa ajira kuitangaza nchi kimuziki nknk... Amepata nafasi na akaitumia vema... Ni bahati na fursa ya kipekee sana aliyotunukiwa... Atakumbukwa na vizazi vingi..
Juu ya yote hayo kila kizuri hakikosi kasoro.... Huwezi kufanikiwa kwenye kila kitu lazima kuna mahali utafeli... Diamond kwenye mahusiano kafeli.. Na hiki ndio kinaweza kuwa kiama chake... Fimbo ngumu ya kumwadhibu!

Lakini je Diamond ni wa kulaumiwa? Ni wa kuchekwa? Ni wa kunyooshewa vidole kila kona? La hasha labda tu kama wewe ni mpenda umbea... Una roho ya kwanini... Na ni mtu mwenye husuda...
Kiroho matendo ya sasa ya Diamond kwenye mahusiano yana asili na huko alikotoka na mahusiano yake rasmi ya kwanza....

Diamond kalelewa na mzazi mmoja (mama) baba yake mzazi ni aina ya wale wazazi katili wanaojua kutundika mimba tu lakini malezi kwa mama... Hili roho linamuandama Diamond
Mpenzi wake wa kwanza kujulikana na wote Wema Sepetu ana historia karibu sawa na Diamond.... Wote hawa inawezekana kabisa kwa sehemu kubwa ya maisha yao hawakufurahia ama hawana uzoefu na malezi ya FAMILIA iliyosimama yenye baba na mama nk... Wana common sharing... Hili pia ni tatizo....
Mpaka sasa si Wema wala si Diamond hakuna mwenye ramani inayoeleweka kwenye mahusiano... Kwahiyo kwa diamond hiki ndio kinaweza kuwa TAMATI ya kilele chake cha mafanikio... Habari za...
.kutengana na mzazi mwenzake
. habari za kuzaa nje ya mahusiano
. habari za kuitwa kwenye vyombo vya usuluhishi
. habari za kufunguliwa mashtaka
. habari za kuitwa polisi...... Si mambo yanayowekwa kwenye kundi la mafanikio bali mwanzo wa anguko ama tamati ya kilele cha mafanikio

Ni wakati wa Ali Kiba sasa
Ni mmojawapo wa wasanii wenye vipaji alianza vizuri lakini kuna wakati akarudi nyuma inasemekana alikuwa Tanga.. Sijui wanawake wa Tanga walimfanya nini huko... Kidogo tumpoteze...

Waswahili wanasema kosea vyote lakini sio kuoa.. Kiba tangu arudi hewani ameendelea kufanya vizuri... Sasa kaingia kwenye ndoa. Ndoa hii iwe ni mwanzo wa mafanikio na isiwe ndio mwanzo wa kumpoteza mazima.... Yupo wapi Marlaw
Sanaa na ndoa inahitaji balance ya hali ya juu sana.. Mwenza akishakua negative... Anguko haliko mbali...
Ni wakati wa kiba sasa lakini kama tu kapata mtu sahihi mwenye akili ya kujua kuwa sanaa ya mumewe ndio bright future yao...
 
Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!

Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
Hajapoteza mimi Naona Kiba kapotea limebaki jina Kwa sasa mtaani ni nyimbo za Aslay na WCB ndio habar ya mjini
 
Umeeleza vizuri sana mkuu Mshana Jr. Kuhusu Diamond nadhali lipo katika malezi alio lelewa pia anahitaji mshauri mzuri, ili aweze kusimama katika game, ukimtazama Ali Kiba malezi yake amelelewa na wazazi wote wawili ikiwa ni pamoja na kupatiwa elimu ya dini huo kwake umekuwa ni muongozo wa kujitambua katika maadili pamoja ya kuwa awali hakupata meneja sahihi wakumsimamia kazi zake ndilo lililo mpelekea kuchelewa kupata mafanikio.ila kwa sasa nadhani kampata meneja anae simamia kazi zake kwa usahihi. Diamond na Ali Kiba wote kwa pamoja tunawatakia mafanikio katika kazi zao.
 
Nakubaliana na wewe!
Diamond ametoa album lakini mtaani wala hakuna zile amsha amsha kama zamani hata akisema tarehe flani anachia ngoma mtaa mzima kimya!!

Hata ukisikiliza hupati ile radha tamu iliyokuwepo zamani kwenye nyimbo zake
bullshit kwangwaru ina vieuw million4 ndani ya wiki 2 tu bado unaongea uchizi ..diamond ndo kila kitu bongo sasa zinatafutwa drama zake na kila kitu ndo magazeti wauz.
 
Kila nikimtizama Diamond ana miaka kama mi3 au mi4 ya kuendelea kufanya vizuri, yy mwenyewe anajiona kama underground na ndio maana kila siku anafanya vitu vipya vikubwa,mwaka jana kaalikwa mataifa huru ya Africa mwaka huu World Cup Russia hatujui mwakani ataalikwa wapi,bado hapo ana bidhaa kibao ameziingiza sokoni na zinafanya vizuri (Wasafi label &Record,Karanga,Wasafi TV&Radio,Perfume).Msanii pekee alifanikiwa KUINTERGRATE MZIKI WAKE NA BIASHARA, na ndio maana ana beef na washikadau wengi sababu kwa wanapenda kuendesha mambo KISHIKAJI (hii ndio sababu wasanii wengi wanakuwa masikini) na si KIBIASHARA kama yy anavyotaka.
true said
 
mkuuu umechemsha ..anguko la diamond ni hadi atakapo stafu jama anajituma hapendi shisha bangi kama alikiba anguko lake diamond mtaendelea kulisubiri hadi muanguke wenyewe ... mana bado anasubiriwa kuanguka toka 2011 hadi sasa anatesa..
 
Mondi tayari keshavuka stage ya kutunga na kutoa miziki.. Sasa yeye yuko kwenye level ya kutakiwa kutunga wimbo kwa ajili fulani... Mfano world cup n the like
Sasa ajikite kibiashara... Aige wasanii wakubwa ulimwenguni wanafanya mziki kwa miaka kumi na ushee wanapiga hela wanabadili mtindo wa maisha wanaingia kwenye biashara na uwekezaji.. Huku kazi zao za sanaa zikiwa na haki na hatimiliki wanakula tu commission
Ww unataka uwekezaji upi zaid ya anaoufanya, kawekesza kwenye bites kama karanga, ana music lebel snamiliki wasanii wake, asa hivi kaingia kwenye media wasafi tv na radio mda siyo mrefu itaruka hewan, na vyote vinafanya poa. Ww unataka afanye kipi zaidi ili moyo wako ulidhike.....ww ni hater uliyejivisha vazi la mtoa ushauri.
 
Ali Kiba amewahi kuwa juu lini? Acheni kumpa sifa za kijinga huyo jamaa. Alikuwa kawaida kama wasanii wengine na wala hakuwahi utawala muziki wa Bongo fleva.
Wabongo hawatakubali ukweli huu mchungu. Ali kiba alitoka kabla ya Diamond lakini wakati alikiba ametoka alishindwa kuendana au kupambana bampa tu bampa na wasanii wa Enzi zake kama kina Ay wakati huo Ay ndio alikua anapambana kuipeleka Bongo fleva kimataifa. Ay alifanya kolabo na wasanii wengi sana kama anavyofanya Diamond kipindi hiki. Kiufupi Kiba ni msanii wa kawaida sana, wakina Ay wameangaika sana, mara Kingston mara south ili tu kufanya kolabo kuitangaza Bongo Flavour. Leo hii mtu anajiita King wakati alishavua Gwanda kisa vita ilimshinda. watu kila siku wanasikiliza mziki lakini hawataki kuelewa sababu ya U team wao. Povu Rusha
 
Acha kunifananisha na upuuzi. Halafu kumbuka mimi ni shabiki wa diamond. Ila sio kiazi kama wewe
Uwe shabiki wake usiwe lkn watu hawawezi kuacha kufanya mambo yao kisa kiba anaoa, umiesikia ww KIAZI KITAMU
 
Uwe shabiki wake usiwe lkn watu hawawezi kuacha kufanya mambo yao kisa kiba anaoa, umiesikia ww KIAZI KITAMU
Bora mimi kiazi kitamu. Wewe KIAZI KILICHO OZA.

Ndio ana wivu sana jamaa
 
Back
Top Bottom