- Thread starter
- #21
WEngi tumechanganyikiwaaaa"Ccm ni ileile oohh ni ileile... Watajijua wenyewe... Acha waisome namba" unaaikia Chama kinakuimbia nyimbo kama hii na bado unakipigia kura yako, acheni ituue.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WEngi tumechanganyikiwaaaa"Ccm ni ileile oohh ni ileile... Watajijua wenyewe... Acha waisome namba" unaaikia Chama kinakuimbia nyimbo kama hii na bado unakipigia kura yako, acheni ituue.
KAwaida sana kwa serikali hiyoooHuu tn utakua mzigo
Msivue nguo tu ndicho tunachowaombaWEngi tumechanganyikiwaaaa
Kila mtu kachanganyikiwa tunavurugana sanaMsivue nguo tu ndicho tunachowaomba
Siungi mkono. Watanzania tuanze kujenga tabia ya kujua vizuri ni gharama na LAZIMA tuvigharamie.Naam, naunga mkono hoja
Hakuna anaemwelewa mwenzie inabidi milembe mpelekweKila mtu kachanganyikiwa tunavurugana sana
Hilo daraja ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na pia kwa mji wa Kigamboni.Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri vipite bila tozo zozote ili kurahisisha huduma za usafiri.
Kwa tabu ambayo wanachi wanapata sasa ya kuvuka kwa foleni kubwa na kusubiri kwa sababu ya kulipia tozo, hakika umefika wakati serikali ilifikirie suala la kuacha kukusanye pesa ya kivuko. Ninaamini wananchi wengi sana wataongeza imani na serikali kwa kusamehe gharama za kivuko.
Note:
Kigamboni vivuko vinasumbua sana kwani vinachelewa kuja na vingi vinahitaji matengenezo watu wengi wanapanda ila roho juu sanaaaa, daraja ni mkombozi kwa mwananchi
Serekali iweke kwenye bajeti ya mwaka 2025/2026 bajeti ya billion 200/300 kulingana na Salio lililobaki iwalipe Nssf huduma ipatikane free. Mbona jambo dogo Sana hilo ni maamuzi tu ya viongoziNa gharama yake bilioni za shilingi za kitanzania 337 hadi sasa wamekusanya jumla kubwa ya bilioni 83 tu tangu 2016, bado mwendo mrefu labda miaka karibuni 8 ijayo kwa mahesabu mtaji wa NSSF utakuwa umelipa.
Kigamboni waoneshe uzalendo hadi 2040 NSSF watakuwa wamerejesha gharama za uwekezaji
Ni kweli kabisa mkuuuSerekali iweke kwenye bajeti ya mwaka 2025/2026 bajeti ya billion 200/300 kulingana na Salio lililobaki iwalipe Nssf huduma ipatikane free. Mbona jambo dogo Sana hilo ni maamuzi tu ya viongozi
Kwakweli maana tunaopata tabu n wananchiiNaunga mkono hoja, Serikali ibebe hilo Jukumu la kulipa DENI
Changamoto ni foleni tu, basi kuwe na utaratibu gari ikifika una scan inapitaaaSiungi mkono. Watanzania tuanze kujenga tabia ya kujua vizuri ni gharama na LAZIMA tuvigharamie.
Naunga mkono hoja.Changamoto ni foleni tu, basi kuwe na utaratibu gari ikifika una scan inapitaaa
Daraja limejengwa na pesa za taasisi na sio Za Serikali- So Taasisi itakusanya mapato mpaka pesa yake na faida kiasi irudi. Na ana miaka kadhaa mbele. So TulieniKutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri vipite bila tozo zozote ili kurahisisha huduma za usafiri.
Kwa tabu ambayo wanachi wanapata sasa ya kuvuka kwa foleni kubwa na kusubiri kwa sababu ya kulipia tozo, hakika umefika wakati serikali ilifikirie suala la kuacha kukusanye pesa ya kivuko. Ninaamini wananchi wengi sana wataongeza imani na serikali kwa kusamehe gharama za kivuko.
Note:
Kigamboni vivuko vinasumbua sana kwani vinachelewa kuja na vingi vinahitaji matengenezo watu wengi wanapanda ila roho juu sanaaaa, daraja ni mkombozi kwa mwananchi
✍️📝👌👊👏🤝🙏💐🎁🛡️Kutokana na wingi wa watu wanaokaa na kutembelea Kigamboni pamoja na shida ya usafiri kuelekea na kutokea Kigamboni ni wakati sasa wa serikali kufanya maamuzi magumu ya kuruhusu vyombo vya usafiri vipite bila tozo zozote ili kurahisisha huduma za usafiri.
Kwa tabu ambayo wanachi wanapata sasa ya kuvuka kwa foleni kubwa na kusubiri kwa sababu ya kulipia tozo, hakika umefika wakati serikali ilifikirie suala la kuacha kukusanye pesa ya kivuko. Ninaamini wananchi wengi sana wataongeza imani na serikali kwa kusamehe gharama za kivuko.
Note:
Kigamboni vivuko vinasumbua sana kwani vinachelewa kuja na vingi vinahitaji matengenezo watu wengi wanapanda ila roho juu sanaaaa, daraja ni mkombozi kwa mwananchi
Mkuu taasisi hiyo ni ya binafsi au ya serikali??? Kama ni ya serikali inakuwaje hela yake isiwe ya serikali???Daraja limejengwa na pesa za taasisi na sio Za Serikali- So Taasisi itakusanya mapato mpaka pesa yake na faida kiasi irudi. Na ana miaka kadhaa mbele. So Tulieni
🤣 🤣 🤣Hakuna anaemwelewa mwenzie inabidi milembe mpelekwe
Daraja limejengwa kwa pesa za wanachama wa NSSF. Hizo pesa lazima zirudi ili watu wapate mafao yao. Ni kitega uchumi cha NSSF. Hakuna namna lazima tulipie."daraja limejengwa kwa pesa za wananchi maskini, na hao wananchi maskini wanalipia ili kupita kwenye daraja hilo" kweli hiki ni kichwa cha mwendawazimu.
Hela yako unayokatwa kwenye mshahara kwa ajili ya mafao huwa ni ya serikali?Mkuu taasisi hiyo ni ya binafsi au ya serikali??? Kama ni ya serikali inakuwaje hela yake isiwe ya serikali???