Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Mkuu nakuelewa uzuri sana ila nimelenga katika “maintenance” ya daraja.Richard unaelewa nini watu wanachosemea? Mbona daraja la Wami hakuna hayo mambo.Mbali ya kuachia foleni lakini pia garama za kulipia kwani Kuishi kigamboni ndiyo iwe mateso kutoka na kurudi? Tanzanite mbona hakuna malipo? Nafikiri ni wakati muafaka wananchi wa Kigamboni nao wapate unafuu sasa katika kulipa maana ni Kigamboni pekee ndiyo watu wanalipa, Unasema sijui walipe kwa simu ishu siyo kulipa kwa njia ipi ishu garama za masiha na bado kulipia ndiyo kazi.Mbona kuna miradi mingi inalipwa na kodi na wananchi hawajalalamika sababu wanajua kulipa indirect.
Wenye ajira, wenye biashara zao wanapaswa kulipa kiasi fulani ili utunzaji wa daraja uwe na ufanisi. Hili daraja ni tofauti na daraja la wami kimatumizi kwani hili latumika na wakazi wote wa Kigamboni na hata wa kutembea.
Daraja la mto Wami ni jukumu la wizara ya ujenzi na miundombinu na lenyewe pia lilipaswa kudhibitiwa matumizi yake na kufanyiwa matengenezo ya mara kwa mara badala ya kupiga.
Nakuelewa sana ila Kigamboni ni daraja lilojengwa kimradi zaidi, hivyo tozo haiwezi kukosa.
Ndo maana nikasema waangalie hizo tozo na wawatoze wananchi kulingana na kipato chao.
Madaraja yote nchini kama yamejengwa kwa fesha za mkopo itabidi fedha kiasi pia zitoke kwenye tozo.