Ni wakati wa Daraja la Kigamboni kupitika bure, bila kulipia

Hilo daraja ni muhimu sana kwa uchumi wa nchi na pia kwa mji wa Kigamboni.

Usimamizi ukiwa mbovu ndo kwachochea upigaji na hiyo fedha hutaiona.

Kigamboni ndo walipaswa kusimamia daraja hilo kwa kuhakikisha fedha zinopatikana baada ya kulipa kodi fedha yatumika kuboresha daraja, kununua mitambo ya kuruhusu magari kupita baada ya kulipa na kulipa mishahara wasimamizi wa daraja hilo.

Pia wananchi waweza kulipia moja kwa moja kwa kutumia simu au kadi zao za benki hivyo kuruhusiwa na mitambo kupita hapo hivyo kurahisisha "traffic".

Hakuna nchi yoyote duniani yenye daraja kama hilo la Kigamboni ambalo magari yapita bure bila kulipa tozo angalau kiasi fulani.

Cha msingi ni usimamizi mzuri (management) na kuhakikisha daraja halizami baada ya kubomoka au kubomolewa.

Tozo yaweza kuwa "monitored" kulingana na idadi ya magari yapitayo kwa kuweka kitu chaitwa "footfall" ambayo itakwambia ni kiasi gani cha tozo ukadirie.
 
Serekali iweke kwenye bajeti ya mwaka 2025/2026 bajeti ya billion 200/300 kulingana na Salio lililobaki iwalipe Nssf huduma ipatikane free. Mbona jambo dogo Sana hilo ni maamuzi tu ya viongozi
 
Serekali iweke kwenye bajeti ya mwaka 2025/2026 bajeti ya billion 200/300 kulingana na Salio lililobaki iwalipe Nssf huduma ipatikane free. Mbona jambo dogo Sana hilo ni maamuzi tu ya viongozi
Ni kweli kabisa mkuuu
 
Daraja limejengwa na pesa za taasisi na sio Za Serikali- So Taasisi itakusanya mapato mpaka pesa yake na faida kiasi irudi. Na ana miaka kadhaa mbele. So Tulieni
 
βœοΈπŸ“πŸ‘ŒπŸ‘ŠπŸ‘πŸ€πŸ™πŸ’πŸŽπŸ›‘οΈ
 
Daraja limejengwa na pesa za taasisi na sio Za Serikali- So Taasisi itakusanya mapato mpaka pesa yake na faida kiasi irudi. Na ana miaka kadhaa mbele. So Tulieni
Mkuu taasisi hiyo ni ya binafsi au ya serikali??? Kama ni ya serikali inakuwaje hela yake isiwe ya serikali???
 
"daraja limejengwa kwa pesa za wananchi maskini, na hao wananchi maskini wanalipia ili kupita kwenye daraja hilo" kweli hiki ni kichwa cha mwendawazimu.
Daraja limejengwa kwa pesa za wanachama wa NSSF. Hizo pesa lazima zirudi ili watu wapate mafao yao. Ni kitega uchumi cha NSSF. Hakuna namna lazima tulipie.
 
Mkuu taasisi hiyo ni ya binafsi au ya serikali??? Kama ni ya serikali inakuwaje hela yake isiwe ya serikali???
Hela yako unayokatwa kwenye mshahara kwa ajili ya mafao huwa ni ya serikali?
 
Dunia ya leo hakuna cha bure
Hautaki piga mbizi tu

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…