Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

Ni wakati wa Dunia kuanza kulitambua Jeshi la Polisi Tanzania kama Kundi la Kigaidi

MlimaSayuni

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2013
Posts
7,285
Reaction score
13,703
NI wakati wa kupaza Sauti dunia nzima kuwa Tanzania sio Salama kwa wageni na Wenyeji, Ni wakati wa kusema Tanzania tuna State sponsored terrorist organization.

Makundi ya kigaidi huteka, huua.

Kwa taarifa zilizopo Tangu October 29 Watu waliotekwa na Waliouliwa na Kundi hili ni kubwa kuliko Waisraeli wote waliouliwa na Hamas Tangu ianzishwe
 
Askari polisi ikivunjwa na kuwa katika muundo wa unit ndogo ndogo zenye kujitegemea mbona haina shida. Sasa hivi wanafanya huo mambo kwasababu hakuna chombo kingine cha kuwanyoosha na wao wanapozingua
 
  • Thanks
Reactions: vnn
Ile video ya mwandishi wa habari imenihuzunisha kweli..
Hasa huyu mama imeniuma sana
20251121_172755.jpg
 
Sasa hivi hata ucheze mziki wasioupenda wanapita na wewe
 
Sauti itakauka dogo nenda kafanye kazi umri unaenda huo, hamna tuzo ya kulala lala sebuleni kwa shemeji yako kama baiskeli.

Kisa wamekukosa kosa na risasi ukiwa unaiba mali za watu siku ya maandamano uchwara unataka kuwapakazia ugaidi?
 
Kundi hili ni kubwa kuliko Waisraeli wote waliouliwa na Hamas Tangu ianzishwe

Ukisoma katikati ya mistari unaelewa nini hapa?

Sitii neno sana. Maana kuna ndugu zangu Waislam mmeingia kwenye hii fitna, mnatumika kwenye agenda za watu, Allah Awaongoze nyinyi na sisi katika njia iliyonyooka na Atupe Afya na Salama katika Dini yetu na Dunia yetu, Aamiin.

Tafakari Muislam mwenzangu.
 
Jeshi la polisi halina tofauti na Bokoharam au Al shaabab wanachojua ni kuua tu
 
Back
Top Bottom