MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Hata Hamas hawajawahi kuzika watu kwa halaikiIle video ya mwandishi wa habari imenihuzunisha kweli..
Hasa huyu mama imeniuma sanaIle video ya mwandishi wa habari imenihuzunisha kweli..
Ifutwe kabisa waanze upya, sababu inathitaji kuanzishwa katika misingi mingine kabisaHii nchi ikifanikiwa kukombolewa Polisi ndio taasisi ya kwanza ya kufanyiwa over haul.
Kabisa.Ifutwe kabisa waanze upya, sababu inathitaji kuanzishwa katika misingi mingine kabisa
Kundi hili ni kubwa kuliko Waisraeli wote waliouliwa na Hamas Tangu ianzishwe
We ***** tuliza donut hiloSauti itakauka dogo nenda kafanye kazi umri unaenda huo, hamna tuzo ya kulala lala sebuleni kwa shemeji yako kama baiskeli
Hata Hamas hawajawahi kuzika watu kwa halaiki