Ni wakati wa kumpa credit zake Baraka Mpenja

'Emanuel mvyekule aamuwekea Habib Haji Kyombo anamwambia mwanangu chukua hio, Habib Haji Kyombooo
happy new year, happy new year wasukuma wanasema waveja kulumpa waveja kulumpa'
alinikosha sana siku hii vyura wanakufa kwa Mbao kirumba
 
Huelewi chochote wewe ji.nga sana. Mie nimem quote mtu mwingine unajipendekeza. Fuatilia niliye mquote then utagundua wewe ni fa.la.
Limbukeni tuu wewe huna lolote kafie mbele huko acha kujipendekeza utaliwa tigo kavu kavu we manina zako.
 
Hakuna kitu... Wakati mwingine huwa anaongea maneno hata hayana maana. Ya kijinga kijinga tu. Hata ukimuuliza uhusiano wa maneno hayo na kinachotangazwa hawezi elezea. Ana utoto mwingi binafsi huwa sipend msikiliza. Na mute ili niangalie pambano kwa raha
 
Hahaaa umezidi chuki asee. Upo radhi uangalie kisailensa kuliko kumsikiliza jamaa
 
Peter drury na kina Jim Beglin wale ni level nyingine

Professionalism ni muhimu
 
Huyo ukitaka umuelewe vizuri awe anatangaza mechi ya Simba au Mbao dhidi ya Yanga halafu Yanga wafungwe goli! Utamsikia what a goal! fantastic! bla bla nyingiii! Nahisi ni mshabiki wa mbumbumbu fc kama sikosei! Mimi simpi credit kwakweli.
Chura mna gubuuu! Daaaah usimpe kuna kitu kitapungua kwake kwani?? Hizi roho mbaya za kikongomani walah!
 
Gubuuu Tu linakusumbua bibiee
 
Ni upumbavu kutaka wote tufikiri kwa jinsia moja. Kama ni hivyo kwa nini mnamkosoa magufuli si ndo chuki yenyewe hiyo? Mi nlidhani wewe una akili kumbe nawe ni boya kama wengine. Watu wana uhuru wa kutoa maoni yao.

Acha chuki mtanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…