Mozu1991
JF-Expert Member
- Feb 14, 2013
- 500
- 450
Ha ha ha ha wangekufa kweli aiseee
Yanga walipeleka malalamiko yao Azam huyu dogo asitangaze mechi ya Yanga Vs Simba kwamba anaumiza sana mashabiki wa Yanga,anaweza kuua yanga kwa presha.
Kudos Baraza