Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay nikajua 500k used kumbe umemaanisha USDDollar laki tano mkuu
Mmmmh!Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)
Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.
Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.
Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.
Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.
Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.
Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.
Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.
Lengo la thread ni kujisifia🚮Nimekuwa nikitumiwa jumbe na wananchi walioko Tanzania mi nikiwa huku Argentina ( bado jamaa wanasherehekea kuchukua kombe la Dunia So nikaona nikae kwenye moja ya nyumba ambazo mzee alijenga huku. Hii nyumba inafanana sana na Ikulu ya Dom leo ndo nimegundua)
Juzi wakati Mlinzi wangu ananishukuru kwa kumtumia viji dollar vya Sikukuu maana huwa nawatoa kitu kila sikukuu angalau kila mmoja apate Usd 5,000. Akale sikuu kuu. Ukiacha ya likizo ambayo huwa nawapa Usd 10,000 kila mtu. Tuyaache hayo maana mtaanza kusema nawapa pesa kidogo. Well, nawajua hawa jamaa. Ukiwapa pesa nyingi wanaacha na kazi wanaenda kuoa.
Mlinzi anasema TANZANIA KUNA MGAO WA UMEME. nikamuuliza pale Oysterbay nao wanapata huo Mgao. Anasema haijawahi tokea. Hapo nikashangaa. Yaani Tanzania nzima wanapata Mgao wa umeme. Sisi tupo Oysterbay Serikali haitugaii kitu? Why? Huu ni Ubaguzi. Pale Oysterbay nafahamu kuna wale wachuuzi wadogo wadogo ukipita maeneo ya Coco Beach. Wapewe nao huo umeme.
Sawa mimi sihitaji mgao. What about some of the Waziris wanaokaa kule? Nawafahamu Mawaziri kadhaa wanakaa kule. Why wao wasipewe huo mgao? Wametumikia nchi hii kwa muda kadhaa.
Hapa Serikali inatengeneza matabaka sana. Mwishowe itaonekana kama sisi si raia wa Tanzania. Mgao wapate wote na sisi Wa Oysterbay tupewe ingawa binafsi sihitaji but najua kuna wanaohitaji.
Hapa nakunywa mvinyo toka Italy Barolo. Na Chakula ni Gordon Ramsay pizza... Nimezungukwa na watoto 3 wakali wa Kilatino.... Wananisifu na kuniabudu tu...maana wameona kazi zetu weusi zilivuo.ni watoto wa Matajiri sana....baba zao ndo wale mnaowana kwenye Movies wanajuliana kama Mafioso.
Sasa huwa nawasaidia kwenye mahesabu yao flani flani ili wasiingie matatani na Serikali zao so kama zawadi kila mzee ametoa binti yake mmoja Bikra mimi ndo nifanye ufunguzi. Kama Heshima kwao na kutambua mchango wangu.
Wadau mwaka unaishia huu...usibebe makasiriko na uchovu wa moyo wa mwaka huu kwenda nao mwaka ujao.mwaka huu kama hukupiga hatua. Mwakani piga msamba kabisa. Ukienda bank au kwenye ATM huwezi toa pesa kwenye akaunti yako. Basi toa hata ushuhuda.
Kila mmoja na faraja yake mkuu, muache afurahishe nafsi yake. Utajiri hana basi hata kuuishi kwa nadharia pia ashindwe.Kwa umri wangu wa kustaafu namshauri mleta mada atafute hata mume mgane mwenye pesa ili aweze kuishi ndoto zake.
Mwaka mzima anaandika sifa za kikhanithi tu,unadhani kuwa na pesa ni kama kuwa na pumbu? Acha hizo mwaka ujao hatutaki ushoga wako hapa.
Hii nimeipenda🤣🤣🤣🤣unadhani kuwa na pesa ni kama kuwa na pumbu?
So unamaanisha mi na don Bill Lugano ni mtu mmoja??You are playing yourself like soltaire hahaaaa sasa hapo mbna unajitekenya unacheka mwenyew same ip address same phone...That means same person 😂😂😂🤔😂
Unamkosea sana billionaire msomi wetu bill lugano aka kiduku lilo.Mkuu Pole Sana, Una tatizo kubwa sana la afya ya akili
Kuna wanasaikolojia huwa wanatibu na wanaweza kukusaidia
Tatizo lako kubwa ni kwamba uliweka malengo makubwa sana Katika maisha yako hapo awali kwa kufikiri maisha ni rahisi sana kumbe kwenye Ground mambo ni magumu sana
Umeshindwa kufika maisha mazuri sasa unaishi maisha ya Wengine na hii inapelekea kukosa kujiamini
Bila kupata msaada wa karibu unaweza ukawa total insane
Mwaka fulani nilikutana na mtu Dar es Salaam hapo awali aliwahi kuwa tajiri sana mwenye majumba na Fedha nje lakini alipofilisika ghafla kila wakati alianza kama wewe kuelezea maisha mazuri aliyoishi ambayo hayawezi kuyapata tena, Mwisho wa siku akaanza kuongea ongea mwenyewe na Leo ni story nyingine kabisa
Mkuu Bill Lugano??!
Tulia, Tulia, Tuliza akili yako, Jipe muda pumzika utaishi maisha mazuri na ya uwezo wako, Hapa JF kuna wengi wanapitia kama yako
Kuna graduate hapa wa vyuo vikuu nao wengi kwa sasa wamepanic kama wewe lakini kikubwa ni kutulia
Pesa ina mambo mengi Usifikirie watu wenye pesa basi wana Furaha na wanakula maisha, Pengine maskini anayelala kwenye mbavu za Mbwa ana Furaha kuliko hao unaowafikiria wewe ndotoni
Nimeshangaa wewe ni Mnyakyusa wa kwanza kuona umechanganyikiwa na kufika hatua hii ya kuota mambo ambayo hayapo kwako