Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

Ni wakati wa WanaCCM kuwakataa wahuni wanaoleta matabaka ndani ya Chama

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama.

Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni.
IMG_20211212_025945.jpg
 
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni https://t.co/OTfUzClc2BView attachment 2041035
#kataawahuni
#hatutakiwahuni
#hatutakikigogo2014
 
Kwa wana CCM wasio na “baba walezi” kataeni matabaka kwenye Chama chetu maana ndio msingi wa Usawa wa Binadamu ambayo ni Imani ya Kwanza ya Chama chetu na wanachama. Matabaka ni mbinu moja ya wahuni kukidhoofisha Chama chetu kwa maslahi yao, tuikatae tabia hiyo #kataawahuni https://t.co/OTfUzClc2BView attachment 2041035
Ukishakiri huna baba mlezi ujue utapitia mengi. Utakula chakula kisicho na chumvi,maziwa utachanganyiwa na maji wakati wa kula huku wenye baba wakipewa maziwa halisi. Itabidi uvumilie mana alipokuwepo baba mlezi nawe ulitesa Sasa na wenzio ni wakati wao wanaye baba mlezi.
 
Hapa JF kuna wanaCCM wachache sana, Zunguka mashinani TZ nzima uitishe vikao uwaambie hayo, Zunguka na huyo mwenye sura kama mganga wa kienyeji
 
Back
Top Bottom