Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chadema nawakubali kwa kuwahubiria wahalifu Wokovu ili kuwa watu wema. Na mtu akiipata hii Itikadi ya Wokovu hubadilika kabisa sasa sijui Sisi ni lini tutacopy hii Itikadi ya wapinzani wetu ili kuwabadilisha wezi tulionao kwani ni kazi sana kujipa usafi tuosiokuwa naoChadema ni kimbilio la wahalifu kutoka CCM
Mku nasikia nimefungwa miguu, mikono na inaonekana haiwasaidii wameenda ktk daladala midomo nayo imewekewa kofuli kisa mlituhenyesha Sana 2015 sasa sijui kama hivi vyote kama vitatusaidia kwani hasira ni hasira tu kuikabili ni ngumu hasa inayoishi rohoniCDM ina wenyewe, na wewe una li-ccm lako, jenga li-ccm lako ya kwetu tuachie hayakuhusu. slaa alikimbia akaja lowasa la tulifanya makubwa ktk uchaguzi kuliko huko nyuma pamoja na udhulumati mkubwa sana tuliofanyiwa.
kwa taarifa yako huu MWIBA (mbowe) WENU hautowachomokaFailure ndio zinazomtaka aondoke kwenye kiti...sio mwanaccm
yule askofu juzi alidhihirisha kwa kumfananisha Rais na MUGABEWito huu kwa Mbowe ni wa siku nyingi...namfananisha na Mugabe.
Mbowe hana sababu mpya ya kusingizia hili anguko na aibu ya Chadema.
Mkuu imani hiyo ndio inayodhoofisha chama, chadema imeshinda kwa ushabiki wa kuiondoa CCM madarakani na wengi wao wala hawajui chadema ikiingia madarakani itawafanyia nini wanachama na watanzania kwa ujumla, CDM kaondoka nayo Dr. Slaa hawa waliobaki makapi yanayopokea makapi, tusiweke ushabiki kwa hili itafika wakati kila mwenye kujitambua atatoka CDM hata hawa wanahamia kwa vishindoChama kimeshika majiji yote chini ya mbowe kwako ww mafanikio ni nini?mtu yeyote anaye kubali kununuliwa hulaaniwa fuatilia historia ya yuda escaliuti
Kwani huyo Slaa alitokea wapi? Huko nyuma kabla ya 1992, wote tulokuwepo tulikuwa chama kimoja CCM. Kwa taarifa tu Slaa nae alihama CCM baada ya jina lake kukatwa pamoja na kushinda kura za maoni wakati akiwania ubunge.Ukisema utaitwa mwanaCCM...HATUWEZI KUWA NA TANZANIA MPYA CHINI YA MAKAPI YA ZAMANI KUTOKA CCM NDANI YA CHADEMA
Hoja??Eti kimeshika majiji, majiji? [emoji23][emoji23][emoji23]
Wanamgwaya sana.hahhahahah...kwamba wewe CCM ndio Mbowe anakuuma sana kiasi cha kutaka ajiuzulu...hahahaha
Kama zipo kweli si ndo iwe furaha kwako? WACHEKESHA sana.Failure ndio zinazomtaka aondoke kwenye kiti...sio mwanaccm
Njia ya ikulu kwa kutumia polisi na tume ya uchaguzi? Na ndio wajivunia?Mada ipo nje ya upeo wako wa kufikiri. Waache wataalamu wa njia ya kuelekea ikulu watuelekeze wapi tumekosea mpaka tumepotea namna hii!
Wandiooo...oo mwajivunia ni huko.Haikuwahi kufanya uchaguzi lakini ni bora wanaopokeana kijiti wanakuja na upeo na uwezo tofauti kuliko aliyekaa madarakani na kujimilikisha chama cha wananchi.
Kama akina Joka lenye makengeza?Chadema ni kimbilio la wahalifu kutoka CCM
Walowaleta hao mabeberu ni nyie wenyewe, mkawagawia migodi kwa mikataba ya siri na miswada ya dharura ili kuwawekea 'mazingira mazuri'. Mpaka sasa ugomvi wenu ni siri yenu. Ndo maana mnakaa vikao vya siri zaidi ya miezi mitatu mnarudi na maneno mengi lakini TUPU.CDM sasa kimekuwa ni GENGE la wala rushwa, wezi na vibaraka wa mabeberu.
Unadhani hiyo ndo democracy ndani ya chama chenu???.Haikuwahi kufanya uchaguzi lakini ni bora wanaopokeana kijiti wanakuja na upeo na uwezo tofauti kuliko aliyekaa madarakani na kujimilikisha chama cha wananchi.