Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Mbowe angekuwa Mtumishi Serikali angeshatumbuliwa kwa vyeti feki maana elimu yake anaijua mwenyewe
 
Wito huu kwa Mbowe ni wa siku nyingi...namfananisha na Mugabe.
Mbowe hana sababu mpya ya kusingizia hili anguko na aibu ya Chadema.
Sasa kwanini msifurahie kama kinaanguka, si ndio mtabaki peke yenu. Wanafki wakubwa nyie, mfuatenj Slaa si anauza super market!!
 
Wakuu

Siasa za kimapinduzi huwa zinafuata upepo kuelekea democrasia ya kweli

Nature ya utawala wa Zimbabwe kwa rais mmoja kishikilia madaraka kwa muda mrefu kinyume na katiba na demokrasia ya vipindi haina tofauti na utawala wa mwenyekiti "dikteta" wa chadema Freeman Mbowe.

Rai yangu
Chadema kina jeshi lake (readbregade) na wanachama pia, kufuatia mapinduzi ya zimbabwe
Itafaa zaidi wanachadema kwa nguvu moja chini ya redbrigade tuungane tupinge aina hii ya tyrannical sysytem ya mbowe!
 
ONCE set,

Siasa za kimapinduzi huwa zinafuata upepo kuelekea democrasia ya kweli

Nature ya utawala wa Zimbabwe kwa chama kimoja ZANU PF kushikilia madaraka kwa muda mrefu kinyume na misingi ya demokrasia ya vipindi haina tofauti na utawala wa CCM "Chama cha dikteta".

Rai yangu
Tanzania ina jeshi lake (JWTZ) na wananchi pia, kufuatia mapinduzi ya zimbabwe
Itafaa zaidi watanzania kwa nguvu moja chini ya JWTZ tuungane tupinge aina hii ya tyrannical sysytem ya CCM.
 
Huu unyumbu sasa!

Ile ndoa yao mpaka kifo kitapo watenganisha, inamaana Mbowe kafunga ndoa na machadema?
Ina maana hawakoseani, mbona wahajafukuzana? Acha matamshi ya hvyo! Kama kuna wakati Mbowe anahitajika ni sasa. Risasi , mabomu, jela kesi kibao buila uongozi imara, CDM itasambaratika.
Kama umetumwa, kafie kaburini
 
ONCE set,

Acha kutoa kafara za watoto wako kwa shetani. Wewe Mbowe anakuuma nini? Wewe subiri jeshi letu litkapokamilisha miango ya kuwafurusha na marangi yenu ya laana ndipo utajua unachokisema.
 
Mbowe kaongoza Chadema toka baadhi ya members wa JF wakiwa wanavaa nepi
 
IKINGO,

Uko vizuri mkuu

Ila ujiulizi kwanini huwa mnashindwa kwa kura kila uchaguzi tena ulio wa haki na uhuru kwa vyama vyote hapa nchini?

Ninyi na mbowe wenu unalizungumziaje apart from ccm to save long
 
Naona ndo unasign off night shift hapo Lumumba!

Hivi malipo hua yanaingia direct baada ya kufanya hand patch hapo getini au mambo katibu afike ofisini?

Halafu nani atasupervise vijana leo day shift?
 
Khaa.. Umeamua kugeuza, badala ya jeshi liondoe masisiemu na msizonje waongo, wee unahangaika na chama pinzani!
Pole!
 
ccm wanafyonza uwezo wa vijana wao kufikiria na naona kbsa hawana tofauti na vijana wa zanu-pf hasa kale kamwenyekiti kao hakatofautiani na kamwenyekiti ka uvcmm kukurupuka
 
Back
Top Bottom