Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Kwani ni lazima awe mwanachama wa chadema ndo aweze kuchambua masuala ya chadema?
Kama wewe sio mwanachama wa hicho chama unapata shida gani kwa Mbowe kuwa mwnykt kwa muda mrefu?

Wenye chama wameridhika na staili yake ya uongozi waache wenyewe

Pambana na masuala yanayoigusa nchi ambapo wewe utakua na maslah nayo.

Ya chadema waachie wenyewe
 
Mbowe ndiyo dawa yenu! Yule ni chuma cha pua, nyinyi pambaneni na sizo na propesa lipumbavu!
 
Awachane na uenyekiti apishe wengine, kwani chadema yupo yeye tu?
Akiwa si mwenyekiti uhitajika wake unakua umekoma?
Umetumwa wewe!weka poll tupige kura wangapi wanataka mwenyekit mwingine chadema.afu ita lumumba wenzako wote na nyie mpige kura tuone.
 
Mdakeo,
Mkuu CHADEMA kina endeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini ambayo ni kodi ya watanzania wote ingekua inaendeshwa kwa pesa ya Mbowe ningekaa kimya ruzuku ni pesa ya watanzania wote
 
Mkuu CHADEMA kina endeshwa kwa ruzuku kutoka serikalini ambayo ni kodi ya watanzania wote ingekua inaendeshwa kwa pesa ya Mbowe ningekaa kimya ruzuku ni pesa ya watanzania wote
Wanaotoa ruzuku ni serikali, kama chadema hawajakidhi vigezo wasipewe ruzuku.

Kama ni masuala ya matumizi mabaya ya kodi zetu yapo mengi sana yakemee hayo.

Kimantiki inawezekana chadema bado hawajapata mbadala wa Mbowe waache wajipange
 
Lobapula,
Mimi nina akili sana nishakuelewa unachomaanisha. Ila jitahidi kupunguza uoga!!
 
Mugabe na Ccm hawana tofauti ni ndugu na dada
duh umelewa viroba wewe kilichomtoa Mugabe ni kung'ang'ania madarakani kama Mbowe ni vema ukaliweka kichwani hio, mshaulini mbowe kwamba chama kina vijana wanauwezo wa kumpokea vijiti aache uroho
 
WADAU CCM kupitia UVCCM wanahangaika sana kujifanya ni Bavicha eti hawamtaki Mh.Feeeman MBOWE kuwa Mwenyekiti Wa Chadema.Najiuliza ni kwanini CCM haimtaki Mh.Mbowe? Ana madhara gani kwao?
Akili kubwa aliyonayo na ktk vyama vyote hakuna anayemfikia na ukiangalia wabunge aliowapata kwa muda mfupi na kuendana na umri wake ni siśi tuopoteza Majimbo na kukubalika kwa chama nchi nzima Lazima tutafute namna ya kuchagua.
Lakini ndo hivyo chadema imepokelewa na mikono miwili na Watanzani kwa ajili ya Mbowe kwa hiyo usitegemee lolote zuri kutoka kwetu
 
CCM imejifunza nini?
CCM imejifunza kuwa ukomo wa muda wa madaraka kwa vipindi maalum nila msingi sana vp Mbowe kajifunza nn kwa mugabe ambae hakukua na ukomo wa kugombea kama ilivyo chadema?
 
Back
Top Bottom