Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.

Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.

Rudisheni kwanza kura Mlizoiba then ndiyo muanze zungumzia anguko la CHADEMA...........
 
Lissu alisema walimkubali Lowassa kwa kuwa aliwajibika kwa makosa yaliyofanywa na wasaidizi wake. Hata kama ni kweli huo uongo, mtu aliyewajibishwa nafasi ya uwaziri mkuu kwa makosa ya uzembe au ufisadi anapewa vipi nafasi ya kugombea urais?
 
Tumekuelewa mkuu heri wewe unalijua ilo sasa hivi hicho chama ni dustbin mafisadi papa utawakuta umo CCM ikitapika fisadi CHADEMA wanapokea wanasema tumepata jembe
Na wakiwa huko kwenu sio mafisadi ila wakishatangaza nia ya kuhamia chadema tayari wanakua mafisadi., you guys are pathetic
 
Ni wehu tu kufikiri kuondoka madarakani kwa mbowe ni ishu ya CCM, kwahiyo wanachama wenyewe hawana akili za kutafakari siyo? Alafu unafikiri CCM ikiamua kuingilia hilo suala la kumng'oa Mbowe uenyekiti kwa hila zote inaweza kushindwa? CCM hawajataka na sidhani kama wametaka alafu ikashindikana. Tambua nafasi iliyonayo CCM katika nchi hii na uelewe unapoongelea CCM Tz kwa ujumla unaongelea historia ya nchi hii, serikali za hawamu zote tano na vyombo vyake. So, jitafakarini upya na chama chenu wenyewe.
CCM ipi unayoisema wewe? Hii inayolindwa na polisi? Hakuna historia wala chama na usijidanganye hilo halipo kamwe
 
Chadema nawakubali kwa kuwahubiria wahalifu Wokovu ili kuwa watu wema. Na mtu akiipata hii Itikadi ya Wokovu hubadilika kabisa sasa sijui Sisi ni lini tutacopy hii Itikadi ya wapinzani wetu ili kuwabadilisha wezi tulionao kwani ni kazi sana kujipa usafi tuosiokuwa nao
Mkishawasafisha wanarudi CCM wakiwa safi te teh teh
 
redio,
Hivi unaandika unachokielewa au unaandika tuu? CCM walijaribu kukibambikia CHADEMA kesi za ugaidi lskini wakagonga mwamba, huu unaouzungumzia ni upuuzi kudanganya mtu asiyezijua siasa za CHADEMA na CCM.Inawezekana wewe ni Pole pole uliyeambiwa unajifunza siasa
 
Mr Meningitis,yaani umesema yote lakini kuna watu wanaakili za kishikiwa,hata usema nini wao hawatofautishi kati ya maziwa na maji.haiwezekani ukaita sumu ikiwa kwangu na ikija kwako unaita dawa.Mbowe na uchaga ndiyo tatizo kwa chadema.
Mku Wachaga hawarusiwi kuwa wanasiasa au chuki yako kwa vile elimu ya uraia kutoka kwa Mjerumani. Mimi ninaamini hili kabila halijifunzi kuishi ukitaka kulijua hilo nenda mahakamani kaulizue ktk miaka kumi iliyopita kuna Kesi ngapi za Miradhi.
Hawa wakishazaliwa ni kujitegemea yaani hawa ni sawa watoto wa Mamba.
Sio akili tegemezi kwa Sana siwasifii Sana pale mtu anapokuwa tofauti mkubali
 
Mtachonga sana Lakini hata uchaguzi ukapitishwa saa hii Mbowe anapita kwa asilimia zote. kama ina kuuma sana meza wembe
 
Kadri siku zinavyokwenda ndio ninazidi kutambua kumbe Mbowe yuko strong sana ktk medani ya siasa kulinganisha na wenyeviti wengine. Mawe yamekuwa mengi sana kwake.... Hii ni baada ya kila jitihada za kumtikisa kushindikana!
Hata Mugabe yuko Strong
 
Hivi unaandika unachokielewa au unaandika tuu? CCM walijaribu kukibambikia CHADEMA kesi za ugaidi lskini wakagonga mwamba, huu unaouzungumzia ni upuuzi kudanganya mtu asiyezijua siasa za CHADEMA na CCM.Inawezekana wewe ni Pole pole uliyeambiwa unajifunza siasa
Chadema ni jeshi linalopambana na ccm ili kuiondoa. Ni mtu mjinga tuu ndio ataamini akisikia jeshi la ccm linapiga kelele "mwondoe kamanda wa Chadema Mbowe! hafai, bora yule Slaa kuliko huyu anaua jeshi hili la Chadema mpaka tunalishinda"
Hizi akili za kitoto kabisa kama mada hii ilivyo na uelekeo huo.
 
Katiba na ilani ya chama cha mapinduzi ni kupokezana vijiti kwa mwenyekiti kila baada ya awamu mbili kumalizika pia uchaguzi lazima uwepo KUONESHA mteuliwa anakubalika kwa kiasi/ asilimia ngapi!
Nyie upande wa pili uchaguzi wa mwenyekiti nadhani toka 1995 mpaka mmejisahau kabisa.
Hayo ni maigizo ya uchaguzi.
 
Hivi hamasa ya mikutano ya Mbowe kwenye kampeni za udiwani jingalao huoni? Utadhani ni kampeni za urais zile zenu na kina Diamond na wasanii wengine! Hujiulizi tuu au unaandika kwa vile Chakubanga kakutuma?
 
Kwani Slaa angekuwepo angefanya nini?

Ngoja tuangalie atafanya nini kwenye Supermarket
 
Dr.Slaa ni Moja ya Wapinzani Wenye hoja na Waliofanya hoja za upinzani kuaminika..Hao Kina Mrema na El ni Mapenzi Binafsi ya Watu ila Hawakua na ushawishi kwa Hoja.

Dr.Slaa naamini Angekua yupo active.. Huu Unyanyasaji na Upindishwaji wa Katiba na Sheria Ungeshakoma..Iwe kwa Mikutano au kuandamana..Slaa alikua Siyo Muoga..Kama ilivyo kwa Lisu..Dr.Amewahi kuumizwa hata Mpenzi wake pia Kwa ajili ya Kupigania Maslahi ya Nchi na Chama..Hii hata kwa Mbowe haijatokea.

El hata kuvaa hata Jezi ya Chama tu Kashindwa..
Dr. Ni Mpinzani wa Kweli ..Nitapiga Kura tu Pale nikisikia Amerudi Ulingoni.
 
Acheni sera za mgongo wa chupa enyi ndugu! Jueni ya kuwa siasa ni kama football mwenye timu na mikakati mizuri atawin game so sishangai mbowe kumchukua lowasa maana lowasa alionyesha kukubalika sana nchi nzima muda wa kampen za kuchaguliwa kugombea ccm ivyo mbowe kumchukua uyu mtu ni kama kumsajili mess umpeleke madrid leo.mi sishangai uchafu wa mtu wa ccm maana mfumo wa uyo ccm ndo wa rushwa ivyo unawabeba watu kuwa wala rushwa bila ata kupenda
 
Msimamo upo palepale...Dr Slaa nimsaliti tu kama Zitto hakuna kuridi nyuma nyie tawaleni tu kama Mugabe
 
Na ni lazima tuelewe isingekuwa ni sera kandamizi na utumiaji mabavu unaoendelea kwa upinzani leo chadema hii ya watu hawa ingeweza kuandaa mikakati ya hatari sana ambayo ccm ama raisi aliyeko ingemfelisha kwa kila jambo na wangekuja kuchkua dola kiwepesi kama kumsukuma mlevi hivyo tusipuuze kuhamia kwa watu awa ila tumsifu aliyewamudu wakiwa uko upinzan leo
 
Back
Top Bottom