Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Ni wakati wa wanachadema kumuelewa Dr. Slaa na kumuwajibisha Mbowe!

Wakati Chadema wanampeleka Mbowe kwenye kampeni za Udiwani, CCM wanamtuma Lusinde kwenye Kampeni hizohizo sasa tusubiri matokeo ndipo utaamini kwamba Mbowe hana sumu. Kama ni Nyoka unaweza ukamweka mdomoni .
 
Hata huyo Slaa wako alikua kapi.. Tulimchukua na kumuhifadhi baada ya kukimbia huko Magambani! Be informed
 
Dr. Slaa ana Grace Mugabe wake. Muachane apumzike kutoka alipokua hadi kuuza duka canada si jambo dogo
 
kluger,
Wewe ni CCM..., hata unavyoandika hovyo hovyo hapa unaonyesha kufilisika kiakili ki CCM..

Kwani lazima uingie CHADEMA.., si uende kwa CUF ya Prof Pumba...
 
Eti kimeshika majiji, majiji? [emoji23][emoji23][emoji23]
unashangaa nini kule kote watu wanapojielewa wameshika chadema ccm ipo kule kwenye wapumbavu in mkapa voice ambapo kama hawakununuliwa waliibiwa kura...................................
 
Mleta mada fanyeni jitihada kujenga li-ccm lenu, CHADEMA yetu tuachieni kwani twajua tulikotoka na tuendako Sidhani kama ccm inajua!
 
MZEE WA WATU ANASAFISHA MATUNDA SUPERMARKET HUKO CANADA NYIE MNAMJADILI WAKATI ANAPAMBANA NA HALI YAKE NA MSHUMBUSH
 
Kushika majiji yote ilikuwa ni "pi" kwa kuwa kazi kubwa sana ilifanywa na Slaa na wanachadema asilia.2015 ilikuwa ni zaidi ya majiji kama ushauri wa Slaa ungefuatwa.

Opportunity iliyopotea 2015 inabadilika na kuwa kaburi la Chadema.
Jaribu kufikiri kwa kutumia ubongo sometimes, can you deceive anyone with your rubbish?
 
Chama cha Siasa ni SERA na sio Dr Slaa wee kiazi..., chama cha siasa kinapata nguvu toka kwa WANACHAMA wake... Rejea KURA tulizozoa 2015...
Hizi ndizo zinazowafanya msilale usingizi...

Mfuate Slaa Canada ukawe mke wa pili..
Je, mliishafanya upempuzi yakinifu juu ya hali ambavyo ingekuwa kama msingesimamisha mgombea makapi ya CCM? Je, mnakumbuka kashi kashi za Mrema na Mkapa 1995? 2000 ilikuwaje? Subiri 2020!
Kuhusu hili la .... "Mfuate Slaa Canada ukawe mke wa pili"... mimi simo!
 
Mkuu imani hiyo ndio inayodhoofisha chama, chadema imeshinda kwa ushabiki wa kuiondoa CCM madarakani na wengi wao wala hawajui chadema ikiingia madarakani itawafanyia nini wanachama na watanzania kwa ujumla, CDM kaondoka nayo Dr. Slaa hawa waliobaki makapi yanayopokea makapi, tusiweke ushabiki kwa hili itafika wakati kila mwenye kujitambua atatoka CDM hata hawa wanahamia kwa vishindo
Kama kaondoka nayo Dr Slaa mbona Baba J anahangaika na kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.
 
Masha katumia haki yake kikatiba na kidemokrasia. Wewe shida yako nini?
 
maCCM yanavyohangaika na Mbowe! Sijui kafanya kitu gani huyu mzee!

Let CHADEMA run on its own feets, so as CCM! If you have complaints nenda makao makuu pale ya CHADEMA talk to them! Sio kubwabwaja humu JF so hard to reach, hata walio humu sijui kama wanasoma threads zako! Hakuna formula ya mafanikio ndugu, play your role I play mine!
 
MZEE WA WATU ANASAFISHA MATUNDA SUPERMARKET HUKO CANADA NYIE MNAMJADILI WAKATI ANAPAMBANA NA HALI YAKE NA MSHUMBUSH
Yaonekana wanamwonea huruma. Mliishamlipia nyumba aloingizwa mjini na Jose sasa cha kumsaidia, SI mumtafutie nafasi huko. Awe msaidizi wa Mpolampola au mpelekeni idara ya Tambwe Hiza. Kumrudisha kama Propesa Lipumba, kwa CDM haitowezekana.
 
Back
Top Bottom