Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Unadhani Mama hawajui? anawajuwa sana hawezi kuwa Rais wa nchi halafu aijue kitu gani kilitokea na kina nani waliokuwa wanataka kuichana katiba, anawajuwa vizuri sana na uhakika kisha shughulika nao, sio kwa kuwapiga ila anawatoa katika mfumo. Mimi nadhani Speaker wa bunge alihusika. Hata ile clip yake iliyomfanya aachie kiti ilikuwa kama sababu tu walimlia timing tu, kwani ile hotuba ungeiskiliza yote hakusema vibaya lakini watu wakakata kile kipande jamaa ikabidi amwage tu. CCM wakimpenda mtu hawamuachi wangempigania lakini Ndungai aliachwa mzima mzima mpaka na siasa kachukia. Ndungai aliona fursa ile, mtu wa tatu alikuwa yeye baada ya makamu wa Rais, aliona aunde na machawa wake wapinge mwanamke ili apewe yeye lakini Jeshi wakasimama na katiba ndio maana akasema kuna watu walisahau katiba inasema nini. Ni Ndungai na wenzake kina Kabudi na yule mbunge wa Ismani.
 
Mchezo huo ulisimamiwa na BASHIRU wakishirikiana na Katelephone, Subwoofer, wakisaidiwa na dokta wa magu Prof Michembe lengo ilikuwa kumpa Eng Chamliho kuwa rais wa mpito Ili wapate utulivu wapange rais ajae Ndipo Mabeyo akaingilia kati Kwa kumchukua Dr bingwa wa Moyo kutoka JWna kwenda naye hospitali ya mzena alikokuwa amelazwa na kukuta bwana alitoa na bwana ametwaa ndipo akachukua hatua kama CDF kulingana na katiba.
 
CDF mstaafu katupa dondoo muhimu sana. Kumbe ni kweli kuna watu walitaka Samia asiwe rais.
CDF mstaafu kasema kuwa kuna watu walikuwa wamesahau kuwa katiba inataka kwamba Rais aliyeko madarakani akifa basi makamu wake ndiye anayeshika kijiti.
Sijui kwa nini kila nikiwaza akili yangu inanielekeza kwa watu wanne .... Bashiru, Ndugai, Kabudi na Lukuvi.
 
wenzio wananufaika Kwa kuwapo kwake,kama unabisha muulize mchumi nambari Wani na wote wanaokula Kwa urefu wa kamba zao. ccm oyeee.
 
Mkuu kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachompa mamlaka jaji mkuu kukaimu mamlaka ya urais? Na kwa namna gani kama kipo?
 
Mkuu kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachompa mamlaka jaji mkuu kukaimu mamlaka ya urais? Na kwa namna gani kama kipo?
Kwa ninavyojua Mimi Rais akishindwa Kutumiza majukumu yake Ombi hilo kutoka baraza la mawaziri litawakilishwa kwa Jaji mkuu...
Na ataunda kamati ya uchunguzi..

 
Kwa ninavyojua Mimi Rais akishindwa Kutumiza majukumu yake Ombi hilo kutoka baraza la mawaziri litawakilishwa kwa Jaji mkuu...
Na ataunda kamati ya uchunguzi..
View attachment 2937959
View attachment 2937960
Sawa ila kuna mahala kama sijakosea ama yaweza kuwa ni maneno tu ya vijiweni nilisikia iyo mada au pia yaweza kuwa ni kwasababu ya hawa watu wawili kuapishana inampa mamlaka flani flani ya kushikilia nafasi
 
Huu ni uwongo wa Pro max. Na ukiendelea ntawatuma vijana wangu Rama na Frenk wakufuate wakulete hapa K/nyama utuelezee vizuri usoni.
 
Sawa ila kuna mahala kama sijakosea ama yaweza kuwa ni maneno tu ya vijiweni nilisikia iyo mada au pia yaweza kuwa ni kwasababu ya hawa watu wawili kuapishana inampa mamlaka flani flani ya kushikilia nafasi
Jaji mkuu ni mtu wa mbali sana kushika Nchi mkuu..
Na sidhani kama anaweza kushika kwa umbali alionao..
Yaani Asiwepo VP,Asiwepo PM,Asiwepo KM ,Asiwepo Spika, Ni ngumu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…