Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Unadhani Mama hawajui? anawajuwa sana hawezi kuwa Rais wa nchi halafu aijue kitu gani kilitokea na kina nani waliokuwa wanataka kuichana katiba, anawajuwa vizuri sana na uhakika kisha shughulika nao, sio kwa kuwapiga ila anawatoa katika mfumo. Mimi nadhani Speaker wa bunge alihusika. Hata ile clip yake iliyomfanya aachie kiti ilikuwa kama sababu tu walimlia timing tu, kwani ile hotuba ungeiskiliza yote hakusema vibaya lakini watu wakakata kile kipande jamaa ikabidi amwage tu. CCM wakimpenda mtu hawamuachi wangempigania lakini Ndungai aliachwa mzima mzima mpaka na siasa kachukia. Ndungai aliona fursa ile, mtu wa tatu alikuwa yeye baada ya makamu wa Rais, aliona aunde na machawa wake wapinge mwanamke ili apewe yeye lakini Jeshi wakasimama na katiba ndio maana akasema kuna watu walisahau katiba inasema nini. Ni Ndungai na wenzake kina Kabudi na yule mbunge wa Ismani.
 
Mchezo huo ulisimamiwa na BASHIRU wakishirikiana na Katelephone, Subwoofer, wakisaidiwa na dokta wa magu Prof Michembe lengo ilikuwa kumpa Eng Chamliho kuwa rais wa mpito Ili wapate utulivu wapange rais ajae Ndipo Mabeyo akaingilia kati Kwa kumchukua Dr bingwa wa Moyo kutoka JWna kwenda naye hospitali ya mzena alikokuwa amelazwa na kukuta bwana alitoa na bwana ametwaa ndipo akachukua hatua kama CDF kulingana na katiba.
 
CDF mstaafu katupa dondoo muhimu sana. Kumbe ni kweli kuna watu walitaka Samia asiwe rais.
CDF mstaafu kasema kuwa kuna watu walikuwa wamesahau kuwa katiba inataka kwamba Rais aliyeko madarakani akifa basi makamu wake ndiye anayeshika kijiti.
Sijui kwa nini kila nikiwaza akili yangu inanielekeza kwa watu wanne .... Bashiru, Ndugai, Kabudi na Lukuvi.
 
Bora hata Kasim Majaliwa angepewa nchi!! Hazikuwa mbaya kupokea maana tulifiwa LAKINI wanaomtaka Tena 2025 wanatukosea kama nchi.
Hivi nchi imekosa wanaume wachapakazi mpaka "kichwa cha taifa" head of state awe mwanamke???
Hata ngazi ya familia mwanamke hawi kichwa cha familia labda baba afariki!!
Sasa 2025 tunapaswa tufuate mafunzo ya dini na tamaduni zetu kichwa cha nchi hakipaswi kuwa mwanamke labda msaidizi maana wanawake waliumbwa kuwa wasaidizi.
wenzio wananufaika Kwa kuwapo kwake,kama unabisha muulize mchumi nambari Wani na wote wanaokula Kwa urefu wa kamba zao. ccm oyeee.
 
Katiba ina mambo mengi sana Ambayo yanahitaji kubadilishwa mkuu Kumbuka katiba hii iliyopo ni katiba iliyopitishwa Kipindi Tanzania ikiwa ni Nchi ya Chama kimoja mwaka 1977..

Na haijabadilishwa Na kutengenezwa mpya..

Kumbuka katiba zingine za nyuma yake zilikuwa zinabadilishwa kwa haraka sana..
Kwa mfano..
  • Katiba ya Uhuru ya 1961,
  • Katiba ya Jamhuri ya Tanganyika 1962,
  • Katiba ya mpito ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ya mwaka 1964
  • Katiba ya Muungano wa Tanzania 1965
  • Na katiba ya Muungano wa Tanzania ya 1977
UKiangalia katiba zote zimekaa kwa muda mfupi sana kasoro katiba ya 1977 imekaa sasa huu unaenda mwaka wa 47..

Je matakwa ya mwaka 77 bado yanahitajika mwaka 2024???
Mkuu kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachompa mamlaka jaji mkuu kukaimu mamlaka ya urais? Na kwa namna gani kama kipo?
 
Mkuu kuna kipengele chochote kwenye katiba kinachompa mamlaka jaji mkuu kukaimu mamlaka ya urais? Na kwa namna gani kama kipo?
Kwa ninavyojua Mimi Rais akishindwa Kutumiza majukumu yake Ombi hilo kutoka baraza la mawaziri litawakilishwa kwa Jaji mkuu...
Na ataunda kamati ya uchunguzi..
Screenshot_20240318_084908_Adobe Acrobat.jpg

Screenshot_20240318_084805_Adobe Acrobat.jpg
 
Kwa ninavyojua Mimi Rais akishindwa Kutumiza majukumu yake Ombi hilo kutoka baraza la mawaziri litawakilishwa kwa Jaji mkuu...
Na ataunda kamati ya uchunguzi..
View attachment 2937959
View attachment 2937960
Sawa ila kuna mahala kama sijakosea ama yaweza kuwa ni maneno tu ya vijiweni nilisikia iyo mada au pia yaweza kuwa ni kwasababu ya hawa watu wawili kuapishana inampa mamlaka flani flani ya kushikilia nafasi
 
Na huko aliko bwana venance anajisikia aibu sana nina uhakika🤭🤭🤭.

Zile ziara ya kuaga aga akiwa anakwenda kustaafu zilikuwa ni za kumsihi akumbuke mchango wake katika yeye kuwepo pale.

Ndio maana wenzie akina saimon walipishana kauli na huyo bibi hadharani baada ya kugundua ni kizibo hata baada ya kukingiwa kifua.
Huu ni uwongo wa Pro max. Na ukiendelea ntawatuma vijana wangu Rama na Frenk wakufuate wakulete hapa K/nyama utuelezee vizuri usoni.
 
Sawa ila kuna mahala kama sijakosea ama yaweza kuwa ni maneno tu ya vijiweni nilisikia iyo mada au pia yaweza kuwa ni kwasababu ya hawa watu wawili kuapishana inampa mamlaka flani flani ya kushikilia nafasi
Jaji mkuu ni mtu wa mbali sana kushika Nchi mkuu..
Na sidhani kama anaweza kushika kwa umbali alionao..
Yaani Asiwepo VP,Asiwepo PM,Asiwepo KM ,Asiwepo Spika, Ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom