Ni wakina nani walitaka Samia asiapishwe Rais wa Tanzania? Walitaka nani aapishwe? Kama CDF asingesimama imara nini kingetokea?

Comment ya kijinga kuliko zote hii. Kwahiyo wakati wanamteua Samia kuwa Makamu hawakujua kuwa kikatiba makamu ni mtu mwenye majukumu gani kikatiba?
Sasa mkuu unaniuliza mimi au unauliza waliomteua?

Maana ukisikiliza Mahojiano ya CDF na hata Ukisikiliza Hotuba ya Makamba Jr lazma utafikia Hio conclusion chukua Muda wako kaa chini sikiliza hizo hotuba mbili halafu chambua..

Rudi tena comment!, hakuna haja ya makasiriko nimesema kwa kutumia Interview ya Mabeyo na Hotuba ya Makamba jr..
Kosa langu ni lipi?
 
Sio sababu ya kutofuata katiba, alikuwa makamu wa raisi una maana gani ilikuwa nafasi kubwa, dharau za kishamba sana
Sasa mkuu unaniuliza mimi au unauliza waliomteua?

Maana ukisikiliza Mahojiano ya CDF na hata Ukisikiliza Hotuba ya Makamba Jr lazma utafikia Hio conclusion chukua Muda wako kaa chini sikiliza hizo hotuba mbili halafu chambua..

Rudi tena comment!, hakuna haja ya makasiriko nimesema kwa kutumia Interview ya Mabeyo na Hotuba ya Makamba jr..
Kosa langu ni lipi?
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Kwahiyo walitaka kuvunja katiba wazi wazi? Maana katiba ipo very clear anayepaswa kuapishwa kama Rais ni Makamu wa Rais.
 
Kwahiyo walitaka kuvunja katiba wazi wazi? Maana katiba ipo very clear anayepaswa kuapishwa kama Rais ni Makamu wa Rais.
Yeah ni Ukweli kabisa walitaka kuvunja katiba kama ukimsikia Mabeyo anasema kuwa "viongozi walisahau kidogo katiba imasemaje"..

Lakini kiuhalisia Huwezi ukaniambia Upo kwenye Ofisi ya uongozi kwa muda mrefu uje na excuse ya kuwa nilisahau katiba Thats Treason (hii ni kesi ya uhaini")
 
Rais Samia amedhihirisha ni mtu wa kariba ya uongozi na mvumilivu mno.

Ingekuwa ni Rais mwingine ametendewa haya sahizi wote waliohusika wangekuwa aidha jela ama makaburini kwa kutenda uhaini.

Yaani mtu unapata watu ujasiri wa kutaka kupindisha katiba ya nchi?

Anyways, Rais Samia wasamehe tu hao waliokuwa wanakula njama za kipuuzi kwa ulafi tu wa madaraka.
 
Yeye anaweza akawasamehe ila sure I am telling you!
Soon Or later wataanza mmoja mmoja kupelekwa mahakamani kwa makosa ya kiuhaini
 
Kiuhalisia Hiyo nafasi ilikuwa kubwa sana kwa Samia ukizingatia ndo ilikuwa mara ya kwanza kuwa na Rais Asiyechaguliwa na wananchi wala Bunge..
Hivyo iliwawia Vigumu kukubali kwa sababu waliamini lazima tu ataharibu
Sasa kati ya MAGU na SAMIA nani kahiaribu nchi zaidi....MAGU mjinga kauwa sekta binafsi kwa ujinga wake
 
Kama asingesimama imara? Kwani alikuwa peke yake?
 
Dotto James, Bashiru, Polepole na Kabudi pamoja na Mangula
 
Wasiojulikana, ndio maana ni ngumu sana maza kutoboa 2025. Yupo pale kwa hisani ya jeshi kulinda katiba, hisani hiyo ina expire 2025.
Mkuu,

Unaamini kabisa kwamba Samia hatatoboa 2025 au unaleta figisu tu kwa sababu humpendi basi utoe nyongo tu?

Unanikumbusha kuna jamaa mmoja alikuwa hampendi sana George W. Bush alikjwa anasema "George W. Bush is a kizard, he won't make it through the 2004 election, he will probably resign before the election".

George W. Bush akashinda uchaguzi na kumalizia miaka yake minne ya mwisho ya urais.

Kwa hiyo, hizi habari hukuanza wewe.

Turudi kwenye uzi huu baada ya uchaguzi wa 2025.
 
Ila km ni kweli hawa w2 ni khatari sana sidhani km hawakujua wanachotka kufanya ili walitka kupima upepo
 
Mabeyo aliingizwa mkenge na Msoga gang, plan yao ikafanikiwa kiulaini
 
🤣🤣We jamaa kizibo kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…