DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Sasa mkuu unaniuliza mimi au unauliza waliomteua?Comment ya kijinga kuliko zote hii. Kwahiyo wakati wanamteua Samia kuwa Makamu hawakujua kuwa kikatiba makamu ni mtu mwenye majukumu gani kikatiba?
Maana ukisikiliza Mahojiano ya CDF na hata Ukisikiliza Hotuba ya Makamba Jr lazma utafikia Hio conclusion chukua Muda wako kaa chini sikiliza hizo hotuba mbili halafu chambua..
Rudi tena comment!, hakuna haja ya makasiriko nimesema kwa kutumia Interview ya Mabeyo na Hotuba ya Makamba jr..
Kosa langu ni lipi?