Ni wanaume wangapi tunajali usafi?

Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande
ilikuaje ukamuacha binti, kijana msafi kiasi hicho? au yeye ndio alikuacha akaona sio level zake?
 
Kwa akili yako kumiliki perfume ni usafi unachekesha sana
 
Maajabu ni kwamba Mwanaume ukiwa msafi au unajipenda sana wengine wanakuita Shoga.
Unajua tofauti ya kujipenda na kujikwatua? Unamkuta kijana wa daslam nywele ina pico, sikio lina hereni, nyusi zimetindwa, uso una poda, lips zinameremeta, ulimi unakihereni, kuna jino la silver/gold, Huku sio kujipenda ni kujikwatua.
 
Usafi wa mtu huanzia moyoni kifikra.

Uchafu tu siupendi kabisaa hata kulisikia neno hilo.

Siri hii anaijua wa karibu yangu tu.
 
Napiga mswaki Mara moja per day
Sina parfume wala spray
Nina pea mbili za viatu
Nanyoa Ndevu na nywele once per month
I’m still clean

Tusimezeshane mambo ya ajabu
 
Aisee nilikuwaga na x mmoja hivi, kwa Usafi nampa shikamoo. Anatumia sabuni clasic, zile body wash/ liquid soap, kichwani shampoo nzuri zinanukia [emoji16] sio haya ma sabuni ya vipande
Ilikuwaje hadi mkaachana mtoto mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…